Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo wimbo-wa-kuabudu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo wimbo-wa-kuabudu. Onyesha machapisho yote

6/18/2019

Wimbo wa Injili 87. Mandhari Mapya Kila siku ya Ufalme

Wimbo wa Injili 87. Mandhari Mapya Kila siku ya Ufalme

I
Katika Mashariki, jua linalochomoza linaangaza katika anga zenye ukungu,
na ufalme wa uzuri mkuu
umekamilishwa katika ulimwengu huu.
Ulimwengu unayakubali maisha mapya, vitu vyote vinapewa nguvu mpya.
Eh! Pambazuko limefika sasa.

6/16/2019

254 Ifuate Kazi Mpya ya Roho Mtakatifu na Kupata Sifa ya Mungu

254 Ifuate Kazi Mpya ya Roho Mtakatifu na Kupata Sifa ya Mungu

I
Lo … lo … lo …
Kuifuata kazi ya Roho Mtakatifu kunamaanisha mtu huelewa mapenzi ya Mungu ya leo,
hufanya kulingana na matakwa ya Mungu, humfuata Mungu wa leo,
hutii mahitaji Yake ya sasa na huingia kwa maneno Yake mapya zaidi.
Watu kama hao hufuata kazi ya Roho.
Wako katika mkondo wa Roho Mtakatifu, wanaweza kumwona Mungu na kupokea sifa za Mungu.

6/14/2019

256 Wale Wanaoyathamini Maneno ya Mungu Wamebarikiwa

256 Wale Wanaoyathamini Maneno ya Mungu Wamebarikiwa

I
Walio tayari kukubali kuangaliwa na Mungu
ni wale wanaofuatilia maarifa ya Mungu.
Wao wako tayari kukubali maneno ya Mungu.
Watapata urithi na baraka za Mungu.
Hawa ndio ambao wamebarikiwa zaidi.
Mungu huwalaani wale ambao hawana nafasi kwa ajili Yake.
Anawaadibu na kuwaacha.

6/12/2019

258 Kile Ambacho Mungu Anakamilisha Ni Imani

258 Kile Ambacho Mungu Anakamilisha Ni Imani

I
Imani kuu, upendo mkubwa vinahitajika kutoka kwako katika kazi ya siku za mwisho.
Unaweza kujikwaa kama wewe si mwangalifu, kwa sababu kazi hii sio kama awali.
Kile ambacho Mungu anakamilisha ni imani ya wanadamu.
Mtu hawezi kuiona, mtu hawezi kuigusa.
Mungu hugeuza maneno kuwa imani, upendo, na uzima.

6/10/2019

255 Ni Wale Wanaokubali Ukweli Tu Ndio Wanaweza Kuisikia Sauti ya Mungu

255 Ni Wale Wanaokubali Ukweli Tu Ndio Wanaweza Kuisikia Sauti ya Mungu

I
Palipo na kuonekana kwa Mungu,
kuna maonyesho ya ukweli na sauti ya Mungu.
Ni wale tu wanaokubali ukweli
ndio wanaweza kusikia sauti ya Mungu na kushuhudia kuonekana Kwake.
Ondoa maoni ya "haiwezekani"!
Mawazo ya kutowezekana yanaweza kutokea.
Hekima ya Mungu inapaa juu kuliko mbingu.
Mawazo Yake na kazi Yake ni zaidi ya mawazo yote ya mwanadamu.

6/08/2019

Wimbo wa Kuabudu 257 Athari ya Maombi ya Kweli

Wimbo wa Kuabudu 257 Athari ya Maombi ya Kweli

I
Tembea katika uaminifu,
na kuomba kwamba utaondoa udanganyifu mkubwa ndani ya moyo wako.
Omba, kujitakasa mwenyewe; omba, uguswe na Mungu.
Kisha tabia yako itabadilishwa.
Tabia ya mwanadamu inabadilika anapoomba.

6/06/2019

259 Usafishaji wa Mungu wa Mwanadamu Ni Wa Maana Zaidi

259 Usafishaji wa Mungu wa Mwanadamu Ni Wa Maana Zaidi

I
Akikabiliwa na mtazamo wa mwanadamu kwa Mungu,
Mungu amefanya kazi mpya, ili mwanadamu aweze kuwa na
maarifa na utiifu Kwake, upendo na ushuhuda Kwake.

6/05/2019

Wimbo wa Kuabudu 260 Wajibu wa Mtu ni Wito wa Kiumbe Aliyeumbwa

Wimbo wa Kuabudu 260 Wajibu wa Mtu ni Wito wa Kiumbe Aliyeumbwa

I
Wajibu wa mwanadamu hauhusu hata kidogo yeye kubarikiwa au kulaaniwa.
Wajibu wake ni kile anachopaswa kutimiza bila malipo au masharti.
"Kubarikiwa" kunamaanisha kufurahia wema baada ya mwanadamu kuhukumiwa na kufanywa mkamilifu.
"Kulaaniwa" kunamaanisha yeye ambaye anashindwa kubadilisha tabia yake
atapitia adhabu.

6/04/2019

Wimbo wa Kuabudu 261 Muige Bwana Yesu

Wimbo wa Kuabudu 261 Muige Bwana Yesu

I
Yesu alikamilisha misheni ya Mungu,
kazi ya ukombozi ya kila mwanadamu
kwa kutoa kujali Kwake kwa mapenzi ya Mungu,
bila madhumuni au mipango ya ubinafsi.
Katikati Aliweka mpango wa Mungu.
Aliomba kwa Baba wa mbinguni,
akitafuta mapenzi ya Baba wa mbinguni.
Angemtafuta na kila mara Angeomba.

6/03/2019

Wimbo wa Kuabudu 252. Maneno ya Mungu ni Njia Ambayo Mwanadamu Anapaswa Kufuata

Wimbo wa Kuabudu 252. Maneno ya Mungu ni Njia Ambayo Mwanadamu Anapaswa Kufuata

I
Katika kila enzi, Mungu anapofanya kazi Yake duniani,
kila mara Yeye hutoa maneno juu ya wanadamu, Huwaambia ukweli fulani.
Ukweli huu hutumika kama njia ambayo mwanadamu anapaswa kuzingatia,
njia ambayo mwanadamu anapaswa kufuata
Ni njia inayomwelekeza mwanadamu kumcha Mungu na kuepuka maovu,
na kitu katika maisha yao, na katika safari ya maisha
ambayo wanapaswa kutenda, wanapaswa kuzingatia.

6/02/2019

Wimbo wa Kuabudu 251. Maana ya Kweli ya Maneno ya Mungu Haijawahi Kueleweka

Wimbo wa Kuabudu 251. Maana ya Kweli ya Maneno ya Mungu Haijawahi Kueleweka

I
Wanadamu hawajui jinsi ya kufurahia
baraka walizopangiwa mikononi mwa Mungu,
maana hawawezi tofautisha mateso kutoka baraka.
Hivyo si wakweli katika kumtaka Mungu.
Kama kesho isipofika,
ni nani kati yenu, akisimama mbele za Mungu,
angekuwa mweupe kama theluji inayoendeshwa,
kama kito safi bila doa lolote.

6/01/2019

Wimbo wa Kuabudu 250. Njia ya Kujua Mamlaka ya Mungu

Wimbo wa Kuabudu 250. Njia ya Kujua Mamlaka ya Mungu

I
Ujuzi wako wa mamlaka ya Mungu,
nguvu Zake, utambulisho na kiini
haviwezi kufanikishwa au kupatikana
kutokana na mawazo yako.
Usifikiri, haimaanishi usifanye chochote,
au kaa tu na kusubiri uharibifu.
Inamaanisha usifahamu kutumia mantiki,
wala kujifunza kupitia maarifa au sayansi.

5/31/2019

Wimbo wa Kuabudu 126. Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee

Wimbo wa Kuabudu 126. Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee

I
Mungu huonyesha tabia Yake ya haki kupitia mbinu na kanuni za pekee,
haidhibitiwi na watu, matukio au vitu.
Na hakuna awezaye kubadili fikira au mawazo Yake,
au kumhimiza Atumie namna nyingine.
Hii ni asili ya pekee ya tabia ya haki ya Muumba!
Tabia Yake ya haki!

5/30/2019

Wimbo wa Kuabudu 146. Mungu Humtendea Mwanadamu kama Mpendwa Wake Mkuu

Wimbo wa Kuabudu 146. Mungu Humtendea Mwanadamu kama Mpendwa Wake Mkuu

I
Mungu aliwaumba binadamu;
ikiwa mwanadamu amepotoshwa
au kama anamfuata,
Mungu huwachukulia binadamu kama wapendwa,
au kama mwanadamu anavyoweza kusema, jamaa Yake mpendwa.
Mwanadamu sio kitu Chake cha kuchezea.

5/29/2019

Wimbo wa Kuabudu 131. Mungu Anatarajia Kupata Imani ya Kweli Ya Mwanadamu na Upendo Kwake

Wimbo wa Kuabudu 131. Mungu Anatarajia Kupata Imani ya Kweli Ya Mwanadamu na Upendo Kwake

I
Mungu anatarajia unapoelewa,
unapoelewa upande Wake wa kweli,
utamkaribia Yeye hata zaidi;
utathamini kwa kweli upendo Wake
na kujali Kwake kwa binadamu;
utatoa moyo wako Kwake,
bila kuwa na shaka tena,
bila kuwa na tuhuma kumhusu.

5/28/2019

Wimbo wa Kuabudu | 103. Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake

Wimbo wa Kuabudu | 103. Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake

I
Ni Wakati tu Mungu anapojinyenyekeza Mwenyewe kwa kiwango fulani,
kumaanisha Anakuwa mwili ili kuishi kati ya wanadamu,
hapo ndipo wataweza kuwa wasiri Wake,
hapo ndipo wanaweza kuwa marafiki Zake wa karibu.
Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu
wakati ambapo Mungu ni wa Roho, ameinuliwa na mgumu kumwelewa?
Ni kwa kuwa tu mwili ulioumbwa sawa na mwanadamu
ndipo mwanadamu ataweza kuelewa mapenzi Yake na kupatwa na Yeye.

5/27/2019

Wimbo wa Kuabudu | 130. Mapenzi Ya Mungu Yamekuwa Wazi kwa Kila Mtu

Wimbo wa Kuabudu | 130. Mapenzi Ya Mungu Yamekuwa Wazi kwa Kila Mtu

Kutoka kwa uumbaji wa mwanadamu,
asili ya Mungu, mapenzi Yake, mali Yake na tabia
vimekuwa wazi kwa kila mmoja na wazi kwa wote.
I
Mungu hajawahi kamwe kuficha kiini Chake,
wala tabia ama mapenzi Yake kimakusudi.

5/26/2019

Wimbo wa Kuabudu | 249. Je, Umehisi Matumaini ya Mungu Kwako?

Wimbo wa Kuabudu | 249. Je, Umehisi Matumaini ya Mungu Kwako?

I
Ni nani aliyetafutwa na Mungu katika ulimwengu huu usio na mwisho?
Ni nani ambaye amesikia mwenyewe maneno ya Roho wa Mungu?
Nani kati yenu anayeweza kumjibu Ayubu? Ni nani kati yenu ni Petro?
Kwa nini Mungu amemtaja Ayubu na Petro mara nyingi?
Je, umeelewa matumaini ya Mungu kwako?
Eh, unapaswa kutumia muda mwingi kutafakari, eh, kutafakari.

5/25/2019

Wimbo wa Kuabudu | 248. Mabadiliko Katika Tabia Hayatengani na Maisha Halisi

Wimbo wa Kuabudu | 248. Mabadiliko Katika Tabia Hayatengani na Maisha Halisi

Katika kumwamini Mungu,
ikiwa mtu anatamani kuwa na mabadiliko,
basi haipaswi kujitenga mwenyewe
kutoka kwa maisha halisi ambayo yeye yumo ndani.

5/24/2019

Wimbo wa Kuabudu | 247. Kuwa Mtu Anayekubali Ukweli

        Wimbo wa Kuabudu 247. Kuwa Mtu Anayekubali Ukweli
I
Eh~ Chagua njia yako mwenyewe, usikatae ukweli
au kumkufuru Roho Mtakatifu.
Usiwe mjinga, usiwe na kiburi.
Tii mwongozo wa Roho Mtakatifu.
Kurudi kwa Yesu ni wokovu mkuu
kwa wale wote wanaoweza kukubali ukweli.