6/08/2019

Wimbo wa Kuabudu 257 Athari ya Maombi ya Kweli

Wimbo wa Kuabudu 257 Athari ya Maombi ya Kweli

I
Tembea katika uaminifu,
na kuomba kwamba utaondoa udanganyifu mkubwa ndani ya moyo wako.
Omba, kujitakasa mwenyewe; omba, uguswe na Mungu.
Kisha tabia yako itabadilishwa.
Tabia ya mwanadamu inabadilika anapoomba.
Kadiri Roho anapowagusa zaidi, ndivyo wanavyotii zaidi,
ndivyo watakavyokuwa wa bidii zaidi.
Na mioyo yao hatua kwa hatua itatakaswa kwa sababu ya maombi ya kweli.
II
Maisha ya kweli ya kiroho ni maisha ya maombi,
Maisha yaliyo na mguso wa Mungu.
Unapoguswa na Mungu,
hivyo ndivyo unavyobadilika na tabia yako inaweza kubadilika.
Tabia ya mwanadamu inabadilika anapoomba.
Kadiri Roho anapowagusa zaidi, ndivyo wanavyotii zaidi,
ndivyo watakavyokuwa wa bidii zaidi.
Na mioyo yao hatua kwa hatua itatakaswa kwa sababu ya maombi ya kweli.
III
Wakati maisha hayana mguso wa Roho,
maisha si kitu zaidi ya dini tu.
Lakini unapopewa nuru na Mungu, uguswe mara nyingi na Yeye,
utaishi maisha ya kiroho.
Tabia ya mwanadamu inabadilika anapoomba.
Kadiri Roho anapowagusa zaidi, ndivyo wanavyotii zaidi,
ndivyo watakavyokuwa wa bidii zaidi.
Na mioyo yao hatua kwa hatua itatakaswa kwa sababu ya maombi ya kweli.
utatakaswa kwa sababu ya maombi ya kweli.
kutoka katika "Kuhusu Desturi ya Sala" katika Neno Laonekana katika Mwili
Soma Zaidi: Kuhusu Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni