Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maombi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maombi. Onyesha machapisho yote

6/18/2019

Wimbo wa Injili 87. Mandhari Mapya Kila siku ya Ufalme

Wimbo wa Injili 87. Mandhari Mapya Kila siku ya Ufalme

I
Katika Mashariki, jua linalochomoza linaangaza katika anga zenye ukungu,
na ufalme wa uzuri mkuu
umekamilishwa katika ulimwengu huu.
Ulimwengu unayakubali maisha mapya, vitu vyote vinapewa nguvu mpya.
Eh! Pambazuko limefika sasa.

6/08/2019

Wimbo wa Kuabudu 257 Athari ya Maombi ya Kweli

Wimbo wa Kuabudu 257 Athari ya Maombi ya Kweli

I
Tembea katika uaminifu,
na kuomba kwamba utaondoa udanganyifu mkubwa ndani ya moyo wako.
Omba, kujitakasa mwenyewe; omba, uguswe na Mungu.
Kisha tabia yako itabadilishwa.
Tabia ya mwanadamu inabadilika anapoomba.

1/03/2019

Wimbo wa Kuabudu | ""Umuhumi wa Maombi"" | How to Gain the Praise of God"


Umuhumi wa Maombi

I
Maombi ni njia moja ya mwanadamu kushirikiana na Mungu,
kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi,
kuangaziwa na kuwa mwenye nguvu-nia.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi,
kuangaziwa na kuwa mwenye nguvu-nia.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.

12/25/2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)


Xiaoxue, Malesia

Nina wana wawili wa kiume na wameachana na mwaka mmoja. Ili kuwalea kuwa watu waliostaarabika, wenye tabia nzuri, watu wema ambao wataweza watajijengea jina katika jamii na kufanikiwa, walipokuwa na umri wa miaka miwili, nilijadiliana na mume wangu juu ya kuwatafutia shule nzuri ya chekechea. Baada ya ziara kadhaa, maulizo na kulinganisha, tulichagua shule ya chekechea ya Kiingereza kwa sababu waliweka umuhimu juu ya ubora wa tabia au akili na uwezo wa watoto, ambao ulifanana na mtazamo wangu juu ya kufundisha watoto. Ingawa ada za masomo zilikuwa za juu kiasi, alimradi watoto waliweza kuendeleza vizuri na kupata elimu bora, lilikuwa la thamani kutumia pesa zaidi kidogo.

12/21/2018

Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa



Yixin
Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia yangu ya kwanza ya “majaliwa.” Baada ya kuanza kwenda shule, mara ya kwanza nilipomsikia mwalimu wangu akisema kwamba “Unadhibiti majaliwa yako katika mikono yako mwenyewe,” niliweka maneno haya imara mawazoni mwangu.

12/20/2018

Mama wa "Vijijini" Akutana na Binti Mkwe wa "Mjini"

Mama wa "Vijijini" Akutana na Binti Mkwe wa "Mjini"    


 Liu Jie, Hunan

Maoni Tofauti, Migongano Ya Siku Zote 

 Mimi ni mke wa kawaida, mke mzuri na mama mwenye upendo, mimi huwatunza vizuri mume wangu na watoto wangu, mimi hufanya kazi kwa bidii na mwekevu katika kuendesha nyumba yangu, na sijawahi kamwe kutumia fedha zangu bila hadhari. Lakini kitu kisichofikirika kilinifika. Mwanangu alimuoa msichana wa kisasa ambaye kwa kweli alipenda kujifurahisha na kuvaa na kufuata mitindo ya ulimwengu.

8/19/2018

Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, maombi

 Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu

Xiaowei    Mji wa Shanghai
Wakati fulani kitambo, hata kama daima nilipata msukumo kiasi na fadhila wakati dada mmoja aliyeshiriki nami alishiriki nuru aliyokuwa amepata wakati alipokula na kunywa neno la Mungu, pia kila wakati nilikuwa na hisia ya muda mrefu kuwa alikuwa anajionyesha. Ningejiuliza, “Nikimjibu sasa hivi, sitakuwa nikimtia moyo? Kwa namna hiyo, sitaonekana basi kuwa duni kumliko yeye?” Matokeo yake yakawa, nilikataa kutaja maoni yangu mwenyewe katika ushirika au kutoa maoni kuhusu mawazo yoyote aliyoshirikisha.

4/25/2018

Umeme wa Mashariki | Filosofia ya Shetani Inanasa na Kuharibu

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,ushuhuda

     Filosofia ya Shetani Inanasa na Kuharibu

Wu You    Mji wa Hechi, Mkoa wa Guangxi
Wakati fulani uliopita, kanisa lilinipangia kuishi na familia mwenyeji kwa sababu za kazi. Wakati nilipofanya ushirika kwanza na ndugu wa kiume na wa kike wa familia hii mwenyeji, walisema, "Tunaogopa sana kuomba katika ushirika. Tunajua cha kusema tunaposali peke yetu, lakini linapokuja suala la kuomba wakati wa ushirika, hatujui hasa cha kusema." Niliposikia hili, nilijiwazia, "Tusiposali wakati wa ushirika hatutaweza kupokea kazi ya Roho Mtakatifu, na mawasiliano hayatakuwa na ufanisi. Ni lazima tuombe!" Lakini hata hivyo nikafikiria tena, nikifikiri kuwa kama kwa kweli waliogopa kuomba, si wangetunga maoni kunihusu kama ningesisitiza kwamba waombe?

3/07/2018

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Desturi ya Sala

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,maombi

Umeme-wa-Mashariki-Kuhusu-Desturi-ya-Sala

Nyinyi hamtilii maanani sala katika maisha yenu ya kila siku. Watu daima wamepuuza sala. Katika sala zao hapo awali walikuwa wakifanya tu mambo kwa namna isiyo ya dhati na kufanya mchezo tu, na hakuna mtu aliyeupeana moyo wake kwa ukamilifu mbele ya Mungu na kumwomba Mungu kweli. Watu humwomba Mungu tu wakati kitu kinawatendekea.

2/09/2018

Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Mbeleni, kulikuwa na kupotoka kwingi katika jinsi watu walipata uzoefu, na kungeweza hata kuwa kwa ajabu. Kwa sababu tu hawakuelewa viwango vya mahitaji ya Mungu, kulikuwa na maeneo mengi ambayo uzoefu wa watu ulienda kombo. Sharti la Mungu kwa mtu ni kwao kuwa na uwezo wa kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida. Njia za mtu wa kisasa kuhusiana na chakula na mavazi, kwa mfano. Wanaweza kuvaa suti na tai na wanaweza kujifunza kiasi kuhusu sanaa ya kisasa, na katika muda wao wa ziada wanaweza kuwa na kiasi fulani cha fasihi na maisha ya burudani.

2/07/2018

Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu




Sala ya Watu wa Mungu


Watu wa Mungu wanainuliwa mbele ya kiti Chake cha Enzi, 
maombi mengi mioyoni mwao.
Mungu huwabariki wote wanaorejea Kwake; 
wote wanaishi katika mwanga.
Omba Roho Mtakatifu alipe nuru neno la Mungu 
ili kwamba tujue kikamilifu mapenzi ya Mungu.
Tunaomba watu wote walitunze sana neno la Mungu 
na waje kutafuta kumjua Mungu.
Tunaomba Mungu atupe zaidi ya neema Yake, 
ili tabia zetu ziweze kubadilika.
Tunaomba Mungu atufanye wakamilifu 
ili tuwe moyo na mawazo moja pamoja na Yeye.
Tunaomba Mungu atufundishe nidhamu 
ili tuweze kutimiza wajibu wetu Kwake.
Tunaomba Roho Mtakatifu kila siku atuongoze 
kuhubiri na kumshuhudia Mungu.

2/05/2018

Umeme wa Mashariki | Kurudi kwa Mwana Mpotevu

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,maombi

Umeme-wa-Mashariki-Mkristo-maombi

Kurudi kwa Mwana Mpotevu


Wang Xin Mjini Harbin


Katika mwaka wa 1999, nilikuwa kiongozi kutokana na mahitaji ya kazi ya kanisa. Ingawa nilijisikia sana kwamba sikustahili hiyo kazi wakati kwanza nilipoanza, baada ya muda, kutokana na asili yangu ya kiburi na ya kujidai, tahadhari yangu ya awali polepole ilibadilika na kuwa ya kujiinua mwenyewe na kushuhudia kujihusu. Nilijali kuhusu chakula, nguo, na raha, kwa ulafi nikijiingiza katika baraka za hadhi yangu. Mimi hata nilitaka kuwa sawa na MunguHatimaye, mwishowe nilifukuzwa na kutumwa nyumbani.

1/27/2018

Umeme wa Mashariki | Tamko La Ishirini Na Nane

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Nilipokuja kutoka Zayuni, vitu vyote vilikuwa vimenisubiri, na Niliporudi Zayuni, Nilisalimiwa na wanadamu wote. Nilipokuja na kwenda, hatua Zangu hazikuwahi zuiliwa na vitu vilivyokuwa na uadui Kwangu, na kwa hivyo kazi Yangu iliendelea kwa utaratibu. Leo, Ninapokuja miongoni mwa viumbe vyote, vitu vyote vinanisalimu kwa kimya, kwa uoga mkuu kuwa Nitaondoka tena na Niondoe usaidizi kwao. Vitu vyote vinafuata uongozi Wangu, na vyote vinaangalia upande ulioashiriwa na mkono Wangu.

1/25/2018

Sura ya 94. Wale Ambao Hawawezi Kuishi Mbele Ya Mungu Daima Ni Wasioamini

Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Sura ya 94. Wale Ambao Hawawezi Kuishi Mbele Ya Mungu Daima Ni Wasioamini

Mwenyezi Mungu alisema, Nguzo inapopandishwa kidogo, mnaweza kupiga hatua kidogo. Si jambo baya kuwa na mahitaji ya juu kutoka kwenu na wala si jambo baya kuwauliza maswali magumu. Lengo ni kuwafanya muwe na ufahamu zaidi juu ya elimu na maarifa ya kawaida ya kipengele cha weledi cha wajibu wenu.[a] Huenda labda nyinyi bado hulalamika katika nyoyo zenu, mkisema: "Tumejifunza mambo mengi mazuri lakini Mungu huwa hayataji kamwe au kuturuhusu kuyatumia. Kwa hiyo hatuthubutu kuyataja au kuyatumia. Je, na kama yakikanushwa mara tu tunapoyatumia? Na je, tukikosolewa? "Sasa Nawaambieni kwamba mnaweza kuyatumia mambo haya kwa ujasiri.

12/27/2017

Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala | Umeme wa Mashariki

 Mwenyezi Mungu alisema, Je, mnaomba vipi kwa sasa? Ni maendeleo kwa sala za kidini jinsi gani? Mnaelewa nini hasa kuhusu umuhimu wa sala? Je mmechunguza maswali haya? Kila mtu ambaye hafanyi sala ako mbali na Mungu, kila mtu ambaye hasali anafuata mapenzi yake; Kukosekana kwa sala kunaashiria kwenda mbali na Mungu na usaliti wa Mungu. Ni nini uzoefu wenu hasa na sala? Sasa hivi, kazi ya Mungu tayari inakaribia mwisho na uhusiano kati ya Mungu na mwanadamu unaweza kuonekana kutoka kwa maombi ya mwanadamu. Je wewe hutenda vipi wakati watu walio chini yako wanakurai na kukupa sifa kwa matokeo unayozalisha katika kazi yako? Je wewe hutenda vipi wakati watu wanakupa mapendekezo?

10/12/2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili ya Kushuka kwa Ufalme,

Umeme wa Mashariki

(I) Mhutasari juu ya Mamlaka ya Mungu, Tabia ya Haki ya Mungu, na Utakatifu wa Mungu

Mnapomaliza maombi yenu, je, mioyo yenu inahisi utulivu katika uwepo wa Mungu? (Ndiyo.) Ikiwa moyo wa mtu unaweza kutulizwa, ataweza kusikia na kuelewa neno la Mungu na ataweza kusikia na kuuelewa ukweli. Ikiwa moyo wako hauwezi kutulizwa, ikiwa moyo wako siku zote unayoyoma, au siku zote unafikiria juu ya mambo mengine, utaathiri kuja kwako pamoja kusikia neno la Mungu. Sasa, ni kitu gani cha msingi tunachokijadili wakati huu? Hebu sote turudi nyuma kidogo katika hoja kuu.

9/05/2017

Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, maombi

 Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa nini unamwamini Mungu? Watu wengi wanafadhaishwa na swali hili. Siku zote wana mitazamo tofauti kuhusu Mungu wa vitendo na Mungu wa mbinguni, jambo linaloonyesha kwamba wanamwamini Mungu sio ili wamtii, bali kupata manufaa fulani, au kuepuka mateso ya janga. Wakati huo tu ndipo wanakuwa watii kwa kiasi fulani, lakini utii wao ni wa masharti, ni kwa ajili ya matarajio yao wenyewe, na kushinikiziwa.