Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kazi-ya-Roho-Mtakatifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kazi-ya-Roho-Mtakatifu. Onyesha machapisho yote

10/08/2019

7. Mtu mdanganyifu ni nani? Kwa nini watu wadanganyifu hawawezi kuokolewa?

7. Mtu mdanganyifu ni nani? Kwa nini watu wadanganyifu hawawezi kuokolewa?

Maneno Husika ya Mungu:
Kama una udanganyifu mwingi, basi utakuwa na moyo wenye hadhari na mawazo ya shaka juu ya mambo yote na wanadamu wote. Kwa sababu hii, imani yako Kwangu inajengwa kwa msingi wa shaka. Imani kama hii ni moja ambayo kamwe Sitaitambua. Bila imani ya kweli, basi utakuwa mbali hata zaidi na upendo wa kweli.

6/16/2019

254 Ifuate Kazi Mpya ya Roho Mtakatifu na Kupata Sifa ya Mungu

254 Ifuate Kazi Mpya ya Roho Mtakatifu na Kupata Sifa ya Mungu

I
Lo … lo … lo …
Kuifuata kazi ya Roho Mtakatifu kunamaanisha mtu huelewa mapenzi ya Mungu ya leo,
hufanya kulingana na matakwa ya Mungu, humfuata Mungu wa leo,
hutii mahitaji Yake ya sasa na huingia kwa maneno Yake mapya zaidi.
Watu kama hao hufuata kazi ya Roho.
Wako katika mkondo wa Roho Mtakatifu, wanaweza kumwona Mungu na kupokea sifa za Mungu.

8/20/2018

Niliona Kimo Changu cha Kweli kwa Dhahiri

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli

  Niliona Kimo Changu cha Kweli kwa Dhahiri

Ding Xiang    Jijini Tengzhou, Mkoa wa Shandong
Katika mkutano wa viongozi wa kanisa niliowahi kuhudhuria, kiongozi wa kanisa aliyekuwa amechaguliwa hivi karibuni alisema: “Sina kimo cha kutosha. Mimi ninahisi sifai kuutimiza wajibu huu. Mimi ninahisi kushinikizwa na vitu vingi sana, kwa kiwango kwamba mimi sijaweza kupata usingizi kwa siku na usiku kadhaa mtawalia....” Wakati huo, mimi nilikuwa nimebeba mizigo katika kumfuatilia Mungu, kwa hivyo niliwasiliana naye: “Kazi zote hufanywa na Mungu; mwanadamu hushirikiana kidogo tu.

8/19/2018

Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, maombi

 Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu

Xiaowei    Mji wa Shanghai
Wakati fulani kitambo, hata kama daima nilipata msukumo kiasi na fadhila wakati dada mmoja aliyeshiriki nami alishiriki nuru aliyokuwa amepata wakati alipokula na kunywa neno la Mungu, pia kila wakati nilikuwa na hisia ya muda mrefu kuwa alikuwa anajionyesha. Ningejiuliza, “Nikimjibu sasa hivi, sitakuwa nikimtia moyo? Kwa namna hiyo, sitaonekana basi kuwa duni kumliko yeye?” Matokeo yake yakawa, nilikataa kutaja maoni yangu mwenyewe katika ushirika au kutoa maoni kuhusu mawazo yoyote aliyoshirikisha.

6/16/2018

Hekima Kubwa Mno ni Kumwinua Mungu na Kumtegemea Yeye

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, maombi

Hekima Kubwa Mno ni Kumwinua Mungu na Kumtegemea Yeye

Lingxin    Mji wa Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei
Siku chache zilizopita, nilisoma kifungu kutoka "Njia ya Kuingia Katika Uhalisi" katika Ushirika na Kuhubiri Kuhusu Kuingia Katika Maisha (IV): "Kwa mfano, sasa kuna mtu ambaye amechukua mzunguko mbaya. Kutumia hili kama hoja ya kuzungumza ili kuwasiliana ukweli, ungefanyaje hivyo? ... Kwanza, unapaswa kushuhudia kazi ya Mungu, kushuhudia jinsi Mungu huwaokoa wanadamu. Kisha, unaweza kuzungumza juu ya kama barabara anayotumia inaongoza kwa wokovu wa Mungu, kama anaweza kupata kazi ya Roho Mtakatifu, na kama hii ni barabara ambayo Mungu huikubali. Hivyo, kwanza unashuhudia kazi ya Mungu, na kisha ushuhudie barabara ambayo Mungu anatuongozea, yaani, barabara ya wokovu.

11/26/2017

Umeme wa Mashariki | Jinsi ya Kuujua Uhalisi

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi.