Ni Upendo wa Mungu Tu Ulio Halisi
Xiaodong Mkoa wa Sichuan
Mungu alisema, “Taifa la China ambalo limepotoshwa kwa miaka elfu nyingi limeendelea mpaka leo. Kila aina ya virusi vinaendelea kutanuka na vinasambaa kila mahali kama tauni; kutazama tu mahusiano ya watu kunatosha kuona ni virusi vingapi viko ndani ya watu. Ni vigumu mno kwa Mungu kukuza kazi Yake katika sehemu kama hii iliyofungwa kikiki na kuambukizwa virusi.



















