Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumpenda-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumpenda-Mungu. Onyesha machapisho yote

6/14/2019

256 Wale Wanaoyathamini Maneno ya Mungu Wamebarikiwa

256 Wale Wanaoyathamini Maneno ya Mungu Wamebarikiwa

I
Walio tayari kukubali kuangaliwa na Mungu
ni wale wanaofuatilia maarifa ya Mungu.
Wao wako tayari kukubali maneno ya Mungu.
Watapata urithi na baraka za Mungu.
Hawa ndio ambao wamebarikiwa zaidi.
Mungu huwalaani wale ambao hawana nafasi kwa ajili Yake.
Anawaadibu na kuwaacha.

5/18/2019

Wimbo wa Injili | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa


Wimbo wa Injili | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

I

Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.

Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.

Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.

Nikitafuta juu na chini,

lakini hakuna maneno yangeweza kusema,

yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi.

5/15/2019

Wimbo wa Injili | Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu

Smiley face

Wimbo wa Injili | Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu

I
Mpendwa Mwenyezi Mungu,
ni Wewe ndiye Unayenipenda,
uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi
hadi kwa mazoezi ya ufalme.
Maneno Yako yamenitakasa,
yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.
Moyoni mwangu nahisi,
kwa kweli, ni upendo Wako mkuu.
Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!
Maneno Yako yote ni ukweli.

5/12/2019

Wimbo wa Kuabudu | Upendo Safi Bila Dosari


Wimbo wa Kuabudu | Upendo Safi Bila Dosari

I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo,
kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo,
kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo.

5/02/2019

Wimbo wa Kuabudu | 65. Kutafuta Wandani


Wimbo wa Kuabudu65. Kutafuta Wandani

I
Umefanya kazi katika bustani kwa muda mrefu na Umepanda upendo Wako ndani sana.
Umelipa kila gharama, Ukitamani kuwapata watu ambao wana moyo mmoja na Wewe.
Umetafuta kwa muda mrefu—ni nani anayeweza kuelewa dhiki Yako?
Umewekeza upendo mwingi sana wa kweli, lakini ni vigumu Kwako kupata faraja katika maumivu Yako.

4/20/2019

244. Mahitaji ya Mwisho ya Mungu kwa Mwanadamu

244. Mahitaji ya Mwisho ya Mungu kwa Mwanadamu

I
Ikiwa wewe ni mtendaji huduma, unaweza kumhudumia Mungu kwa uaminifu,
bila kuwa mwenye kukaa tuau kutenda tu bila kuwa na dhati?
Ukigundua kuwa Mungu huwa hakushukuru,
bado utaweza kukaa na kufanya huduma maisha yote?
Kama ungetumia juhudi nyingi lakini Mungu bado hakuthamini,
bado ungeendelea kumfanyia kazi katika giza?

3/23/2019

Neno la Mungu | Sura ya 38

neno la Mungu,kumfuata Mungu,kumpenda Mungu

 Neno la Mungu | Sura ya 38

Mwenyezi Mungu alisema, Si kwamba imani yako ni nzuri au safi, lakini badala yake, kazi Yangu ni ya ajabu! Kila kitu ni kwa sababu ya rehema Zangu! Hupaswi kuwa na tabia potovu ya ubinafsi au kiburi hata kidogo, vinginevyo kazi Yangu kwako haitaendelea. Lazima uelewe wazi kwamba iwapo watu wanaanguka au kusimama imara si kwa sababu yao, ni kwa sababu Yangu. Leo, kama huelewi vizuri hatua hii, hutaweza kuingia katika ufalme! Lazima uelewe kwamba kile kinachofanywa  leo ni kazi ya ajabu ya Mungu; hakina uhusiano na mwanadamu.

9/28/2018

Mapambano ya Kufa na Kupona

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, neema

     Mapambano ya Kufa na Kupona

Chang Moyang Mjini Zhengzhou, Mkoani Henan
"Unapoutelekeza mwili, bila shaka kutakuwa na mapambano ndani. Shetani anataka ufuate dhana za mwili, kulinda maslahi ya mwili. Hata hivyo, neno la Mungu bado linakupa nuru na kukuangaza ndani, linakupa msukumo kwa ndani na kufanya kazi kutoka ndani. Katika hatua hii, ni juu yako kama unamfuata Mungu, au Shetani. Kila wakati ambapo ukweli unatendwa na kila wakati ambapo watu wanapofanya mazoezi ya kumpenda Mungu, kuna pambano kubwa.

8/27/2018

Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri

Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu. Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe? Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo. Wewe ndiye Unayenijali.
Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati. Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga. Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.
Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana.
Usisahau kwenda na upendo wangu, pamoja na upendo wangu.

5/01/2018

Umeme wa Mashariki | Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli

    Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?

Suxing Mkoa wa Shanxi
Mimi ni mtu mwenye kiburi na majivuno, na cheo kimekuwa udhaifu wangu. Kwa miaka mingi, nimefungwa na sifa na cheo na sijaweza kujiweka huru kutoka kwazo. Mara kwa mara nimepandishwa cheo na kubadilishwa na mtu mwingine; nimekuwa na vizuizi vingi katika cheo changu na nimekumbwa na matuta mengi njiani. Baada ya miaka mingi ya kushughulikiwa na kusafishwa, nilihisi kwamba sikuwa nachukulia cheo changu kwa uzito. Sikutaka kuwa kama nilivyokuwa katika nyakati zilizopita nikifikiri kwamba mradi nilikuwa kiongozi ningeweza kukamilishwa na Mungu na kwamba iwapo sikuwa kiongozi, basi sikuwa na matumaini.

3/22/2018

Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu
Kwa kweli, kazi inayofanywa sasa ni kuwafanya watu kumtoroka Shetani, kutoroka babu zao wa kale. Hukumu zote kwa neno zinalenga kufichua tabia potovu ya binadamu na kuwawezesha watu kuelewa kiini cha maisha. Hukumu hizi zote zilizorudiwa zinapenyeza mioyo ya watu. Kila hukumu inaathiri kwa njia ya moja kwa moja hatima yao na inalenga kujeruhi mioyo yao ili waweze kuachilia yale mambo yote husika na hivyo basi kuja kujua maisha, kuujua ulimwengu huu mchafu, na pia kujua hekima ya Mungu na uweza Wake na kujua mwanadamu huyu aliyepotoshwa na Shetani.

3/09/2018

Worship Songs Swahili "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu




Worship Songs Swahili "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu 
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote, 
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Ninauunga mkono wajibu wangu 
kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo.
Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini, 
nina moyo wa uaminifu.
Nimejitolea kikamilifu katika kila kitu 
ili kuyaridhisha mapenzi ya Mungu.
Ninatenda ukweli, namtii Mungu, 
na kujaribu kuwa mtu mwaminifu.

3/08/2018

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Mapenzi Matamu


Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu





I
Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako.
Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
Kukutunza hukoleza moyo wangu;
kukutumikia na mawazo yangu yote.
Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako;
mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.
Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako;
mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.
Mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.
Sasa mimi huishi katika ulimwengu mwingine,
hakuna yeyote isipokuwa wewe uko nami.
Unanipenda, ninakupenda;
hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua.
Hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua.
Kumbukumbu chungu hutokomea.
Kumbukumbu chungu hutokomea.

3/01/2018

Nitampenda Mungu Milele


Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu



Nitampenda Mungu Milele

I
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.
Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana.
Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni,
na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
Lakini Hujawahi kuniacha.
Uliniongoza kupitia matatizo mengi,
Umeniweka kupitia hatari nyingi.
Sasa najua ya kuwa Wewe Umenipenda.
II
Ee Mungu! Waniongoza kwa maisha mapya.
Nikifurahia Maneno yako,
Nimeelewa mapenzi yako.

12/30/2017

Sura ya 38. Yeye Ambaye Hukosa Ukweli Hawezi Kuwaongoza Wengine

Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Sura ya 38. Yeye Ambaye Hukosa Ukweli Hawezi Kuwaongoza Wengine

Mwenyezi Mungu alisema, Je, kweli mnaelewa kuhusu mabadiliko katika tabia ya mtu? Mabadiliko katika tabia yanamaanisha nini? Je, mnaweza kutambua mabadiliko katika tabia? Ni hali zipi zinaweza kufikiriwa kuwa mabadiliko katika tabia ya maisha ya mtu, na ni hali zipi ambazo ni mabadiliko tu katika tabia ya nje? Tofauti ni ipi kati ya mabadiliko katika tabia ya mtu ya nje na mabadiliko katika maisha ya mtu ya ndani?

12/12/2017

Sura ya 15. Kutoka katika Siasa Isiyo na Kadri hadi Kutafuta kuwa Msaliaji | Umeme wa Mashariki

1. Uhamaji wa Watu kuelekea kwenye Siasa Isiyo na Kadri
Mwenyezi Mungu alisema, Je, nyote mmekuwa mkitafuta nini hivi karibuni? Je, imekuwa mabadiliko ya tabia na kuwa na ushuhuda wa Mungu? Haijakuwa hiyo! Nawaona watu wengi tena wakitafuta kufa kwa ajili ya Mungu ili kumuaibisha Shetani. Je, mnasubiri tu kuadhibiwa badala ya kupanga kutenda ukweli ama kutafuta kubadilishwa kwa tabia, kulipiza upendo wa Mungu? Baada ya kusoma “Usaliti (1) “na “Usaliti (2), “watu walikuwa na mipango ya kufa.

12/08/2017

Mtu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,siku za mwisho

Mtu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu


Binadamu amekuwa akiishi katika funiko la ushawishi wa giza, huku akiwa amezuiliwa bila ya kuwachiliwa na ushawishi wa Shetani. Nayo tabia ya binadamu, baada ya kutengenezwa na Shetani, inaendelea kuongezeka kuwa potovu. Kwa maneno mengine, binadamu huishi daima na tabia yake potovu ya kishetani, asiweze kumpenda Mungu kwa kweli. Kwa hiyo, kama binadamu anataka kumpenda Mungu, lazima anyang'anywe kujidai kwake, kujigamba, kiburi, majivuno, na sifa nyingine kama hizo zinazomilikiwa na tabia ya Shetani. Vinginevyo, upendo wa binadamu ni upendo usio safi, wote ni upendo wa Shetani, na ule ambao hauwezi kabisa kupokea idhini ya Mungu.