Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwabudu-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwabudu-Mungu. Onyesha machapisho yote

5/26/2019

Wimbo wa Kuabudu | 249. Je, Umehisi Matumaini ya Mungu Kwako?

Wimbo wa Kuabudu | 249. Je, Umehisi Matumaini ya Mungu Kwako?

I
Ni nani aliyetafutwa na Mungu katika ulimwengu huu usio na mwisho?
Ni nani ambaye amesikia mwenyewe maneno ya Roho wa Mungu?
Nani kati yenu anayeweza kumjibu Ayubu? Ni nani kati yenu ni Petro?
Kwa nini Mungu amemtaja Ayubu na Petro mara nyingi?
Je, umeelewa matumaini ya Mungu kwako?
Eh, unapaswa kutumia muda mwingi kutafakari, eh, kutafakari.

5/23/2019

Wimbo wa Kuabudu | 246. Ufalme Wote Washangilia

Wimbo wa Kuabudu | 246. Ufalme Wote Washangilia

I
Dunia nzima inaporudi kwa Mungu,
Kazi Yake ulimwenguni kote inafuata sauti Yake.
Watu watatumia njia nyingi kupokea maneno Yake.
Wote wakaribia na kumwabudu Mungu. Hizi zitakuwa kazi za Mungu.
Mungu hataanza tena kamwe mahali pengine.

5/18/2019

Wimbo wa Injili | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

Wimbo wa Injili | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

I

Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.

Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.

Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.

Nikitafuta juu na chini,

lakini hakuna maneno yangeweza kusema,

yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi.

5/06/2019

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu

I
Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu,
Mungu anageuka kuutazama ulimwengu
na unaanza kutingika.
Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake?
Ama kuishi katika janga Analotoa?
Kila mahali Aendapo anamwaga mbegu ya janga,
lakini kupitia kwayo Anatoa wokovu
na kuonyesha upendo Wake.
Mungu anatamani kuwafanya watu zaidi kumjua,
kumwona na kumheshimu.

3/25/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 120

neno la Mungu,kumwabudu Mungu,ufalme

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 120

Sayuni! Salamu! Sayuni! Ita kwa sauti! Nimerudi kwa ushindi, Nimerudi nikiwa mshindi! Watu wote! Harakisheni mpange foleni kwa utaratibu! Vitu vyote! Mtakuja kusimama kabisa, kwa sababu nafsi Yangu inaukabili ulimwengu mzima na nafsi Yangu inaonekana katika Mashariki ya dunia! Nani anayethubutu kutopiga magoti katika ibada? Nani anayethubutu kutosema kumhusu Mungu wa kweli? Nani anayethubutu kutoangalia juu kwa kumcha?

2/28/2019

Nyimbo za Kuabudu | "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Nyimbo za Kuabudu | "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.
Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.
Soma neno Lake, elewa ukweli Wake.

2/21/2019

Nyimbo za Injili | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song

Nyimbo za Injili | Zingatia Majaliwa ya Binadamu

Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,

ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova,
kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.
Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.

2/20/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Hudumu kama Waisraeli Walivyofanya

Siku hizi watu wengi hawatilii maanani mafunzo yapi yanayopaswa kusomwa wakati wa upatano na wengine. Nimegundua kuwa wengi wenu hawawezi kujifunza mafunzo hata kidogo wakati wa ushirikiano na wengine. Wengi wenu mnashikilia maoni yenu mwenyewe, na wakati mnafanya kazi kanisani, unatoa maoni yako na yeye anatoa yake, moja uhusiano na mingine, bila kushirikiana kabisa. Mnajihusisha tu katika kutoa umaizi wenu wenyewe wa ndani, unaingia tu katika kuachilia huru “mizigo” ndani yenu, si kutafuta uzima hata kidogo.

1/25/2019

Nyimbo za Dini | 13. Kama Tu Binadamu Watamwabudu Mungu wa Kweli Ndiyo Wataweza Kuwa na Jaala Nzuri

Mungu aliumba dunia hii. Aliumba binadamu.
Alikuwa mjenzi wa utamaduni wa zamani wa Ugiriki na ustaarabu wa binadamu.
Mungu tu ndiye Anayefariji, Anayefariji binadamu huyu.
Mungu pekee ndiye Anayejali kuhusu binadamu huyu mchana na usiku.
Kukua kwa binadamu na kuendelea 
hakutenganishwi na mamlaka ya Mungu, mamlaka kuu ya Mungu.
Historia na siku za baadaye za binadamu
zinahusiana sana na mpango wa Mungu, mpango wa Mungu.

10/14/2018

Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo

Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa na dhambi ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.
Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.

7/08/2018

Kama Tu Binadamu Watamwabudu Mungu wa Kweli Ndiyo Wataweza Kuwa na Jaala Nzuri

Mungu aliumba dunia hii. Aliumba binadamu.
Alikuwa mjenzi wa utamaduni wa zamani wa Ugiriki na ustaarabu wa binadamu.
Mungu tu ndiye Anayefariji, Anayefariji binadamu huyu.
Mungu pekee ndiye Anayejali kuhusu binadamu huyu mchana na usiku.
Kukua kwa binadamu na kuendelea 
hakutenganishwi na mamlaka ya Mungu, mamlaka kuu ya Mungu.
Historia na siku za baadaye za binadamu
zinahusiana sana na mpango wa Mungu, mpango wa Mungu.

6/05/2018

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo Nadine yako.