Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo utukufu-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo utukufu-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote

6/18/2019

Wimbo wa Injili 87. Mandhari Mapya Kila siku ya Ufalme

Wimbo wa Injili 87. Mandhari Mapya Kila siku ya Ufalme

I
Katika Mashariki, jua linalochomoza linaangaza katika anga zenye ukungu,
na ufalme wa uzuri mkuu
umekamilishwa katika ulimwengu huu.
Ulimwengu unayakubali maisha mapya, vitu vyote vinapewa nguvu mpya.
Eh! Pambazuko limefika sasa.

5/23/2019

Wimbo wa Kuabudu | 246. Ufalme Wote Washangilia

Wimbo wa Kuabudu | 246. Ufalme Wote Washangilia

I
Dunia nzima inaporudi kwa Mungu,
Kazi Yake ulimwenguni kote inafuata sauti Yake.
Watu watatumia njia nyingi kupokea maneno Yake.
Wote wakaribia na kumwabudu Mungu. Hizi zitakuwa kazi za Mungu.
Mungu hataanza tena kamwe mahali pengine.

5/16/2019

Wimbo wa Injili | Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu

Wimbo wa Injili | Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu



I
Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana,
vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu.
Angalia kandokando yako, si kama awali,
kila kitu ni kizuri na kipya.
Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya,
vyote vimetakaswa.
Tunamsifu Mungu, tukijawa furaha,
nyimbo za sifa zinapepea mbinguni Kwake.
Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.

4/25/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 81

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 81

Oh, enzi hii mbaya na yenye uzinzi! Nitakumeza! Mlima Sayuni! Simama unisifu Mimi! Kwa kukamilika kwa mpango Wangu wa usimamizi, kwa kukamilika kwa kazi Yangu kuu, ni nani athubutuye kutoinuka na kufurahi! Ni nani athubutuye kutoinuka na kuruka kwa furaha bila kukoma! Atakutana na kifo chake mkononi Mwangu. Mimi hutekeleza haki kwa kila mtu, bila huruma hata kidogo au upendo wa fadhila, na bila kupendelea.

3/30/2019

Nyimbo za kusifu | 219. Kiini cha Mungu Kimejaa Heshima

Tenzi,Bwana asifiwe,utukufu kwa Mungu

Nyimbo za kusifu | 219. Kiini cha Mungu Kimejaa Heshima

I

Sehemu ya kiini cha Mungu ni upendo, huruma Yake hufikia wote,

lakini watu husahau asili Yake ni heshima pia.

Kwamba Mungu ana upendo haimaanishi

Anaweza kukosewa bila hisia yoyote au athari.

Usitumie mawazo ya mwanadamu kumfafanua Mungu,

wala kulazimisha matakwa yako Kwake,

kumfanya Mungu atumie mawazo na mtindo wa mwanadamu

katika jinsi Anavyowatendea wanadamu, jinsi Anavyowatendea wanadamu.