Nyimbo za kusifu | 111. Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu
Kazi ya Mungu, kazi ya Mungu, hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.
I
Mungu alipomwahidi Ibrahimu kuwa angekuwa na mwana,
alifikiri haiwezekani.
Chochote ambacho mwanadamu hufanya au kufikiria, si muhimu kwa Mungu.
Vyote huendelea kwa wakati na mpango wa Mungu; hiyo ndiyo sheria ya kazi Yake.
Usimamizi wa Mungu, usioathiriwa na vitu na mwanadamu.
Yote yatafanywa kwa wakati kama ilivyopangwa.
Hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe, kazi ya Mungu.
Hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.
