Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Muumba. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Muumba. Onyesha machapisho yote

7/09/2019

“Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (I)” Sehemu ya Tatu

 

Maneno ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (I)” Sehemu ya Tatu


    Mwenyezi Mungu anasema, “Mungu aliumba vitu vyote kuhusiana, kupatana na kutegemeana. Alitumia njia hii na kanuni hizi kudumisha kuendelea kuishi na uwepo wa vitu vyote na kwa njia hii binadamu ameishi kwa utulivu na kwa amani na amekua na kuzaliana kutoka kizazi kimoja hadi kingine katika mazingira haya hai hadi siku ya leo. Yaani, Mungu anaweka uwiano katika mazingira ya asili.

7/01/2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Sita


Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Sita


Mwenyezi Mungu alisema, Wakati ule ambao mtu anazaliwa, nafsi ya mtu iliyo pweke inaanza kupitia maisha hapa duniani, inapitia mamlaka ya Muumba ambayo Muumba ameipangilia. Ni wazi kwamba, kwa mtu husika, ile nafsi, hii ni fursa nzuri kabisa ya kupata maarifa kuhusu ukuu wa Muumba, kujua mamlaka Yake na kuyapitia binafsi. Watu wanaishi maisha yao kulingana na sheria za hatima zilizowekwa wazi kwao na Muumba, na kwa mtu yeyote mwenye akili razini aliye na dhamiri, kuelewa ukuu wa Muumba na kutambua mamlaka yake kwenye mkondo wa miongo yao mbalimbali hapa nchini si jambo gumu kufanya.

6/17/2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Tano

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Tano


Mwenyezi Mungu alisema, Kwa sababu ya ukuu na kuamuliwa kabla kwa Muumba, nafsi pweke iliyoanza bila chochote kwa jina lake huweza kupata wazazi na familia, fursa ya kuwa mwanachama wa kizazi cha binadamu, fursa ya kupitia maisha ya binadamu na kuona ulimwengu; na pia inafaidi fursa ya kupitia ukuu wa Muumba, kujua uzuri wa uumbaji wa Muumba, na zaidi kuliko vyote, kujua na kutii mamlaka ya Muumba. Lakini watu wengi zaidi huwa hawatumii vizuri fursa hii nadra na ya kipekee.

6/15/2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemi ya Tatu

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemi ya Tatu


Mwenyezi Mungu alisema, Kama kuzaliwa kwa mtu na kulelewa kwake ni “kipindi cha matayarisho” katika safari ya mtu maishani, kuweka lile jiwe la msingi katika hatima ya mtu, basi uhuru wa mtu ndio mazungumzo nafsi ya kufungua hatima ya maisha ya mtu. Kama kuzaliwa na kukua kwa mtu ni utajiri ambao wameweza kulimbikiza kwa minajili ya hatima yao maishani, basi uhuru wa mtu huyo unaanza wakati ule wanaanza kutumia au kuongeza utajiri huo.

6/13/2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Pili


Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Pili


Mwenyezi Mungu alisema, Mtu hawezi kuchagua watu au mambo ambayo yataweza kumhimiza na kumwathiri anapokua. Mtu hawezi kuchagua ni maarifa au mbinu gani atapata, ni mazoea gani ataishia kuwa nayo. Mtu hana kauli kuhusiana na wazazi na watu wake wa ukoo, aina ya mazingira ambayo atakulia ndani; mahusiano yake na watu, matukio, na mambo yaliyo katika mazingira yake na namna yanavyoathiri maendeleo yake, vyote ni zaidi ya udhibiti wake.

6/09/2019

Matamshi ya Mungu | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)" Sehemu ya Kwanza


Matamshi ya Mungu | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)" Sehemu ya Kwanza


Mwenyezi Mungu alisema, Mamlaka ya Mungu ni ya kipekee. Ndiyo maonyesho ya sifa ya, na hali halisi maalum ya, utambulisho wa Mungu Mwenyewe. Hakuna kiumbe ambacho kiliumbwa wala kile ambacho hakikuumbwa kinachomiliki maonyesho ya sifa kama hizi na hali halisi maalum; Muumba tu ndiye anayemiliki aina hii ya mamlaka. Hivyo ni kusema kwamba, ni Muumba tu—Mungu Yule wa kipekee—ambaye anaonyeshwa kwa njia hii na ndiye aliye na hali halisi hii.

6/07/2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Saba

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Saba


Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya kusikiliza kila kitu Nilichomaliza kusema, je, fikira yenu ya hatima imebadilika? Mnaelewa vipi hoja ya ukuu wa Mungu juu ya hatima ya binadamu? Ili kuiweka kwa urahisi, katika mamlaka ya Mungu kila mtu anakubali waziwazi au kimyakimya ukuu Wake na mipangilio Yake, na haijalishi ni vipi ambavyo mtu anashughulika katika mkondo wa maisha yake, haijalishi ni njia ngapi mbovu ambazo mtu ametembelea, mwishowe atarudi tu kwenye mzingo wa hatima ambayo Muumba amempangia yeye.

5/31/2019

Wimbo wa Kuabudu 126. Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee

Wimbo wa Kuabudu 126. Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee

I
Mungu huonyesha tabia Yake ya haki kupitia mbinu na kanuni za pekee,
haidhibitiwi na watu, matukio au vitu.
Na hakuna awezaye kubadili fikira au mawazo Yake,
au kumhimiza Atumie namna nyingine.
Hii ni asili ya pekee ya tabia ya haki ya Muumba!
Tabia Yake ya haki!

5/27/2019

Wimbo wa Kuabudu | 130. Mapenzi Ya Mungu Yamekuwa Wazi kwa Kila Mtu

Wimbo wa Kuabudu | 130. Mapenzi Ya Mungu Yamekuwa Wazi kwa Kila Mtu

Kutoka kwa uumbaji wa mwanadamu,
asili ya Mungu, mapenzi Yake, mali Yake na tabia
vimekuwa wazi kwa kila mmoja na wazi kwa wote.
I
Mungu hajawahi kamwe kuficha kiini Chake,
wala tabia ama mapenzi Yake kimakusudi.

5/08/2019

Wimbo wa Kuabudu | Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee





Wimbo wa Kuabudu | Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee

I
Mungu huonyesha tabia Yake ya haki
kupitia mbinu na kanuni za kipekee,
haidhibitiwi na watu, matukio au vitu.
Na hakuna awezaye kubadili dhana au mawazo Yake,
au kumshawishi Ajaribu njia tofauti.
Hii ndiyo asili ya kipekee ya tabia ya haki ya Muumba!
Tabia Yake ya haki!

3/31/2019

Nyimbo za kusifu | 220. Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

Tenzi,Bwana asifiwe,Muumba

Nyimbo za kusifu | 220. Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

I

Mungu aliumba vitu vyote, na hivyo Yeye hufanya viumbe wote

kuja chini ya utawala Wake, na kutii utawala Wake.

Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake.

II

Vitu hai, milima, mito na mwanadamu lazima vyote viwe chini ya utawala Wake.

Vitu katika anga na duniani lazima vyote vije chini ya utawala Wake.

1/10/2019

1. Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Anayetawala Juu ya Vitu Vyote.

Sura ya 1 Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Kila kitu

1. Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Anayetawala Juu ya Vitu Vyote

Maneno Husika ya Mungu:
Yote yaliyo duniani humu yanabadilika haraka sawasawa na mawazo ya Mwenye uweza, na chini ya macho Yake. Mambo ambayo wanadamu hawajawahi kuyasikia yanaweza kuja kwa ghafla, ilhali vitu ambavyo wanadamu wamemiliki kwa muda mrefu vinaweza kutoweka bila wao kujua.

1/04/2019

Wimbo wa Kuabudu ""Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu"" | The Manifestation of the Power of God"

Wimbo wa Maneno ya Mungu Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

I
Mungu aliumba vitu vyote,
na hivyo Yeye hufanya viumbe vyote
kuja chini ya amri Yake, na kutii utawala Wake.
Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake.
Vitu hai, milima, mito na mwanadamu
lazima vyote vije chini ya amri Yake.

12/23/2018

Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia


 Mwenyezi Mungu alisema: wote wanahitaji kuelewa kusudio la kazi Yangu ulimwenguni, yaani, lengo la mwisho la kazi Yangu na ni kiwango kipi ambacho lazima Nitimize katika kazi hii kabla inaweza kukamilika. Kama watu, wanaotembea na Mimi hadi leo, hawaelewi kazi Yangu inahusu nini, basi hawajakuwa wakitembea na Mimi bure? Watu wanaonifuata Mimi wanafaa kujua mapenzi Yangu.

5/28/2018

Umeme wa Mashariki | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha


Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Mtu Atarudi Kule Alikotoka.
Hakuna yeyote anayeweza kushinda ugonjwa na kifo.
Hakuna yeyote anayeweza kubadilisha sheria za uzee na udhaifu wa mwili au akili.
………………………………
"Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii?"

5/24/2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu


Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu

Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya.… Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni zote hufanya kazi kwa ulinganifu—ni nani huzielekeza? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua ukweli wa kweli!

5/16/2018

Umeme wa Mashariki | Ni nani Mtawala wa Ulimwengu?

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu

Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya. Ni siri gani zilizomo ndani?

Umeme wa MasharikiKanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho.

3/15/2018

Umeme wa Mashariki | Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba


Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu




I
Kwa mamlaka ya Muumba, miujiza yaonekana,
ikiwa na mvuto kwa mwanadamu,
Mwanadamu hutazama kwa butwaa.
Nguvu Zake huleta furaha;
mwanadamu hustabishwa, kwa furaha tele.
Kwa kupendezwa na kushangaa, Yeye hushangilia.
Mwanadamu huguswa waziwazi;
na kunyenyekea kwa hofu.
Heshima utolewa naye unganishwa na Mungu.
Matendo ya Muumba huathiri moyo wa mwanadamu,
husafisha nafsi yake, nakukidhi roho ya mwanadamu.
Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza,
kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote.