Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu. Onyesha machapisho yote

7/01/2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Sita


Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Sita


Mwenyezi Mungu alisema, Wakati ule ambao mtu anazaliwa, nafsi ya mtu iliyo pweke inaanza kupitia maisha hapa duniani, inapitia mamlaka ya Muumba ambayo Muumba ameipangilia. Ni wazi kwamba, kwa mtu husika, ile nafsi, hii ni fursa nzuri kabisa ya kupata maarifa kuhusu ukuu wa Muumba, kujua mamlaka Yake na kuyapitia binafsi. Watu wanaishi maisha yao kulingana na sheria za hatima zilizowekwa wazi kwao na Muumba, na kwa mtu yeyote mwenye akili razini aliye na dhamiri, kuelewa ukuu wa Muumba na kutambua mamlaka yake kwenye mkondo wa miongo yao mbalimbali hapa nchini si jambo gumu kufanya.

5/22/2019

Wimbo wa Kuabudu | 114. Anachotaka Mungu Katika Majaribio Ni Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Wimbo wa Kuabudu | 114. Anachotaka Mungu Katika Majaribio Ni Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

I
Unapokuwa mchanga, ujasiri wako ni wa chini sana;
ni vigumu kujua cha kufanya wakati una ufahamu finyu wa ukweli.
Kama umakabiliwa na majaribio yako, unaweza kuomba kwa dhati,
umwache Mungu autawale moyo wako, uvitoe vyote unavyovipenda.
Kadiri unavyozidi kusikiliza mahubiri
ndivyo unavyozidi kuuelewa ukweli,
ndivyo unavyozidi kukua, ndivyo Anavyozidi kutarajia;
Viwango Vyake vitakua nawe kwa heshima.

4/28/2019

96. Ni kwa Kumcha Mungu tu Ndiyo Uovu Unaweza Kuepwa

96. Ni kwa Kumcha Mungu tu Ndiyo Uovu Unaweza Kuepwa

Tabia ya Mungu ni adhimu na ya ghadhabu.
Yeye si mwanakondoo achinjwe na yeyote.
Yeye si karagosi, linalochezewa na yeyote anavyopenda.
Wala Yeye si hewa, inayoamriwa na watu pote.
Kama kweli unaamini kuweko kwa Mungu,
unapaswa kuwa na moyo unaomwogopa Mungu.

4/08/2019

Nyimbo za kusifu | 239. Njia ya Lazima Kuogopa Mungu na Kujitenga na Maovu

Tenzi,Bwana asifiwe,Sifa na Ibada

Nyimbo za kusifu | 239. Njia ya Lazima Kuogopa Mungu na Kujitenga na Maovu

I
Kumwogopa Mungu hakumaanishi
hofu isiyo na jina, kuepuka, kuabudu kama mungu au ushirikina.
Badala yake, kumcha Mungu kunamaanisha
kustahi, kuamini, kuenzi, kuelewa, kutunza, kutii.
Ni kuweka wakfu, upendo, ibada kamili,
kurudisha fadhila, kujisalimisha bila malalamiko.

4/03/2019

Nyimbo za kusifu | 232. Ukweli wa Matokeo ya Kupotoshwa kwa Mwanadamu na Shetani

Nyimbo za kusifu,ukweli,Kumcha Mungu

Nyimbo za kusifu | 232. Ukweli wa Matokeo ya Kupotoshwa kwa Mwanadamu na Shetani

I

Kwa miaka mingi sana mawazo ya watu

ambayo wameyategemea ili kuishi yameiharibu mioyo yao

na yamewafanya waoga, wadanganyifu na wenye kustahili dharau.

Hawana utashi au azimio,

bali ni wenye tamaa, wenye kiburi, na wakaidi,

dhaifu sana kupita mipaka ya nafsi

au kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza,

kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza.

1/12/2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee

Wimbo wa Maneno ya Mungu Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee

I
Mungu huonyesha tabia Yake ya haki
kupitia mbinu na kanuni za kipekee,
haidhibitiwi na watu, matukio au vitu.
Na hakuna awezaye kubadili dhana au mawazo Yake,
au kumshawishi Ajaribu njia tofauti.
Hii ndiyo asili ya kipekee ya tabia ya haki ya Muumba!
Tabia Yake ya haki!