4/03/2019

Nyimbo za kusifu | 232. Ukweli wa Matokeo ya Kupotoshwa kwa Mwanadamu na Shetani

Nyimbo za kusifu,ukweli,Kumcha Mungu

Nyimbo za kusifu | 232. Ukweli wa Matokeo ya Kupotoshwa kwa Mwanadamu na Shetani

I

Kwa miaka mingi sana mawazo ya watu

ambayo wameyategemea ili kuishi yameiharibu mioyo yao

na yamewafanya waoga, wadanganyifu na wenye kustahili dharau.

Hawana utashi au azimio,

bali ni wenye tamaa, wenye kiburi, na wakaidi,

dhaifu sana kupita mipaka ya nafsi

au kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza,

kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza.

II

Mawazo na maisha yao ni mabovu.

Maoni yao juu ya kumwamini Mungu

ni ya kutisha kweli, magumu kuvumilia.

Ni magumu mno kuyasikia.

Hawana utashi au azimio,

bali ni wenye tamaa, wenye kiburi, na wakaidi,

dhaifu sana kupita mipaka ya nafsi

au kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza,

kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza.

III

Wanadamu ni wenye kuogofya, wenye kustahili dharau na dhaifu.

Hawazichukii nguvu za giza.

Hawahisi upendo kwa mwanga na ukweli,

lakini wao huvifukuza kwa yote wanayoyafanya.

Hawana utashi au azimio,

bali ni wenye tamaa, wenye kiburi, na wakaidi,

dhaifu sana kupita mipaka ya nafsi

au kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza,

kujikomboa kutoka kwa ushawishi,

kujikomboa kutoka kwa ushawishi,

kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza.

kutoka kwa "Mbona Huko Tayari Kuwa Foili?" katika Neno Laonekana katika Mwili
Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni