Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-kusifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-kusifu. Onyesha machapisho yote

4/24/2019

Nyimbo za kusifu | 238. Walio Gizani Wanapaswa Kuinuka

Tenzi,Bwana asifiwe,Sifa na Ibada

Nyimbo za kusifu | 238. Walio Gizani Wanapaswa Kuinuka

I

Kwa maelfu ya miaka,

hii imekuwa nchi ya taka,

chafu sana, taabu imesheheni,

na pepo wakitangatanga kwa kila pembe.

Pepo huhadaa, hudanganya,

hufanya mashtaka yasiyo na msingi,

ni wakatilii, waovu,

wakiukanyaga mji huu wa mahame,

wakiuacha kama umechafuliwa na maiti.

4/18/2019

Nyimbo za kusifu | 236. Kazi Ya Mungu Ikipingana na Fikira za Wanadamu Huwakamilisha Vyema Zaidi

Tenzi,Bwana asifiwe,Sifa na Ibada

Nyimbo za kusifu | 236. Kazi Ya Mungu Ikipingana na Fikira za Wanadamu Huwakamilisha Vyema Zaidi

I

Kama unamwamini Mungu, lazima umtii,

utende ukweli na kutimiza wajibu wako wote, aa, aa.

Lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia.

Kama unapitia tu hukumu na nidhamu, aa, aa,

lakini huwezi kujua Mungu anapokushughulikia 

au kukufundisha nidhamu, basi hili halitoshi kamwe.

Haitoshi kustahimili usafishwaji katika jambo moja,

huna budi kuendelea kusonga, kuendelea kusonga.

4/14/2019

Nyimbo za kusifu | 235. Mmempa Mungu Nini Kama Malipo?

Nyimbo za kusifu,neema,kumtumikia Mungu,

Nyimbo za kusifu | 235. Mmempa Mungu Nini Kama Malipo?

I

Mungu amekuwa kati yenu

kwa majira kadhaa ya kupuputika na ya kuchipua.

Ameishi nanyi kwa muda mrefu.

Mbele Yake ni matendo yenu mangapi maovu yamenyiririka?

Maneno ya dhati mnayoyasema, yanarudisha mwangwi katika masikio ya Mungu.

Mamilioni ya matakwa yenu hayawezi kuhesabiwa,

juu ya madhabahu Yake yamewekelewa.

Na bado hakuna kujitolea, hakuna chembe ya uaminifu

Madhabahu yake mnayalalia.

4/08/2019

Nyimbo za kusifu | 239. Njia ya Lazima Kuogopa Mungu na Kujitenga na Maovu

Tenzi,Bwana asifiwe,Sifa na Ibada

Nyimbo za kusifu | 239. Njia ya Lazima Kuogopa Mungu na Kujitenga na Maovu

I
Kumwogopa Mungu hakumaanishi
hofu isiyo na jina, kuepuka, kuabudu kama mungu au ushirikina.
Badala yake, kumcha Mungu kunamaanisha
kustahi, kuamini, kuenzi, kuelewa, kutunza, kutii.
Ni kuweka wakfu, upendo, ibada kamili,
kurudisha fadhila, kujisalimisha bila malalamiko.

4/06/2019

Nyimbo za kusifu | 234. Unapaswa Kuyachukuliaje Maneno na Vitendo Vyako Mwenyewe

Nyimbo za-kusifu,kumwamini Mungu,baraka,

Nyimbo za kusifu | 234. Unapaswa Kuyachukuliaje Maneno na Vitendo Vyako Mwenyewe

I

Unaamini maneno ya Mungu na rada?

Kwamba Atawaadhibu wanaodanganya, kumsaliti?

Unapenda zaidi siku hiyo ije mapema au baadaye?

Unaogopa adhabu,

au utampinga Mungu, hata ukijua kuna adhabu?

Na siku hiyo itakapofika,

utakuwa kati ya kilio au shangwe?

4/04/2019

Nyimbo za kusifu | 233. Binadamu na Mungu Washiriki katika Furaha Kamili ya Muungano

Nyimbo za kusifu,Nchi itakapojaa furaha,ufalme

Nyimbo za kusifu | 233. Binadamu na Mungu Washiriki katika Furaha Kamili ya Muungano

I

Mungu ameanza kazi Yake kote ulimwenguni.

Watu huko wazinduka na kuizunguka kazi Yake kote.

Wakati Mungu "anasafiri" ndani yao, wao wavunja vifungo vya Shetani.

Kutoka kwa vifungo vya mateso makubwa, sasa wako huru milele.

Siku ya Mungu inapofika, watu wote wanafurahi.

Huzuni mioyoni mwao sasa imetoweka milele.

4/03/2019

Nyimbo za kusifu | 232. Ukweli wa Matokeo ya Kupotoshwa kwa Mwanadamu na Shetani

Nyimbo za kusifu,ukweli,Kumcha Mungu

Nyimbo za kusifu | 232. Ukweli wa Matokeo ya Kupotoshwa kwa Mwanadamu na Shetani

I

Kwa miaka mingi sana mawazo ya watu

ambayo wameyategemea ili kuishi yameiharibu mioyo yao

na yamewafanya waoga, wadanganyifu na wenye kustahili dharau.

Hawana utashi au azimio,

bali ni wenye tamaa, wenye kiburi, na wakaidi,

dhaifu sana kupita mipaka ya nafsi

au kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza,

kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza.

4/02/2019

Nyimbo za kusifu | 231. Matokeo ya Kukwepa Hukumu

Nyimbo za kusifu,kumfuata Mungu,kukamilishwa na Mungu

Nyimbo za kusifu | 231. Matokeo ya Kukwepa Hukumu

I

Unaelewa hukumu na ukweli ni nini?

Kama ndivyo, basi Mungu anakusihi kuitii hukumu.

Vinginevyo utapoteza nafasi ya kupongezwa na Mungu,

au kuletwa na Yeye katika ufalme Wake.

Mungu hawezi kumsamehe msaliti ambaye

alidai uaminifu Kwake lakini kisha alisaliti.

4/01/2019

230. Dunia Yote Itashangalia na Kumsifu Mungu

Nyimbo za kusifu,Kumsifu Mungu,Kushinda

230. Dunia Yote Itashangalia na Kumsifu Mungu

I

Ho~ ho~ ho~ ho~

Yule Mungu mmoja wa kweli ambaye huvitawala vitu vyote katika ulimwengu

—Kristo mwenye uweza!

Huyu ni shahidi wa Roho Mtakatifu.

Anafanya kazi ili kushuhudia kila mahali.

Hivyo hakuna atakayekuwa na shaka yoyote. Mfalme mshindi,

Mwenyezi Mungu, ameushinda ulimwengu.