Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

4/29/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 82

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 82

Wote wanaogopa wanaposikia neno Langu. Wote wamejawa na hofu. Mnaogopa nini? Sitawaua! Ni kwa sababu mnahisi hatia na mnaogopa kugunduliwa. Yale unayoyafanya nyuma Yangu ni ya upuuzi na yasiyo na maana kabisa. Hili limenifanya Nikuchukie sana hivi kwamba Ninatamani sana Ningekuwa nimewatupa wale ambao Sikuwa nimewajaalia wala kuwachagua katika shimo lisilokuwa na mwisho wavunjwe vipande vipande. Hata hivyo, Nina mpango Wangu, Nina malengo Yangu. Nitayahurumia maisha yako kwa sasa, kutokufukuza hadi baada ya huduma yako Kwangu kufika mwisho.

4/24/2019

Nyimbo za kusifu | 238. Walio Gizani Wanapaswa Kuinuka

Tenzi,Bwana asifiwe,Sifa na Ibada

Nyimbo za kusifu | 238. Walio Gizani Wanapaswa Kuinuka

I

Kwa maelfu ya miaka,

hii imekuwa nchi ya taka,

chafu sana, taabu imesheheni,

na pepo wakitangatanga kwa kila pembe.

Pepo huhadaa, hudanganya,

hufanya mashtaka yasiyo na msingi,

ni wakatilii, waovu,

wakiukanyaga mji huu wa mahame,

wakiuacha kama umechafuliwa na maiti.

4/21/2019

Sura ya 31

Sura ya 31

Ninawapenda wale wote wanaonitaka Mimi kwa dhati. Mkilenga kunipenda, hakika Nitawabariki kwa kiasi kikubwa. Je, mnaelewa nia Zangu? Katika nyumba Yangu, hakuna tofauti kati ya hali ya juu na chini. Kila mtu ni mwanangu, Mimi ni Baba yenu, Mungu wenu. Mimi ni mkuu na wa pekee. Ninadhibiti kila kitu ulimwenguni!

3/29/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 100

neno la Mungu,ufalme,watu wa Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 100

Ninawachukia wale wote ambao hawajajaaliwa na kuchaguliwa na Mimi. Kwa hiyo ni lazima Niwafukuze watu hawa kutoka katika nyumba Yangu mmoja baada ya mwingine, hivyo hekalu Langu litakuwa takatifu na bila doa, nyumba Yangu itakuwa mpya daima na haitakuwa nzee kamwe, jina Langu takatifu litaenezwa milele na watu Wangu watakatifu watakuwa wapendwa Wangu. Aina hii ya mandhari, aina hii ya nyumba, aina hii ya ufalme ni lengo Langu, makao Yangu nayo ni msingi wa uumbaji Wangu wa vitu vyote. Hakuna mtu anayeweza kuyayumbisha au kuyabadilisha.

3/27/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 99

neno la Mungu,Kazi ya Mungu,watu wa Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 99

Kwa sababu mwendo wa kazi Yangu unaongeza kasi, hakuna anayeweza kuenda mwendo sawa na nyayo Zangu, na hakuna anayeweza kupenya akili Yangu, lakini hii ndiyo njia tu ambayo lazima isafiriwe. Hii ni “wafu” yaani wakati Ninapoongea kuhusu kufufuliwa kutoka kwa wafu (inarejelea kukosa uwezo wa kufahamu mapenzi Yangu, kukosa uwezo wa kuelewa kile Ninachomaanisha kutoka kwa maneno Yangu. Haya ni maelezo mengine ya “wafu”, na hayamaanishi kutelekezwa na Roho Wangu). Wakati nyinyi na Mimi tumebadilika kutoka kwa awamu hii hadi kwa mwili, basi maana ya awali ya kufufuliwa kutoka wafu itatimizwa (yaani, hii ni maana ya awali ya ufufuko kutoka kwa wafu).

12/16/2017

Sura ya 17. Ufahamu wa Kupata Mwili

Sura ya 17. Ufahamu wa Kupata Mwili

    Mwenyezi Mungu alisema, Kumjua Mungu kunapaswa kufanywa kupitia kwa kusoma neno la Mungu na kulielewa neno la Mungu. Watu wengine husema: "Sijamwona Mungu mwenye mwili, hivyo nitawezaje kumjua Mungu?" Neno la Mungu kwa kweli ni maonyesho ya tabia ya Mungu. Kutoka kwa neno la Mungu unaweza kuuona upendo wa Mungu kwa wanadamu, wokovu Wake wa wanadamu, na jinsi Anavyowaokoa ... kwa sababu neno la Mungu linaonyeshwa na Mungu ikilinganishwa na Mungu kumtumia mwanadamu kuliandika.

12/12/2017

Sura ya 15. Kutoka katika Siasa Isiyo na Kadri hadi Kutafuta kuwa Msaliaji | Umeme wa Mashariki

1. Uhamaji wa Watu kuelekea kwenye Siasa Isiyo na Kadri
Mwenyezi Mungu alisema, Je, nyote mmekuwa mkitafuta nini hivi karibuni? Je, imekuwa mabadiliko ya tabia na kuwa na ushuhuda wa Mungu? Haijakuwa hiyo! Nawaona watu wengi tena wakitafuta kufa kwa ajili ya Mungu ili kumuaibisha Shetani. Je, mnasubiri tu kuadhibiwa badala ya kupanga kutenda ukweli ama kutafuta kubadilishwa kwa tabia, kulipiza upendo wa Mungu? Baada ya kusoma “Usaliti (1) “na “Usaliti (2), “watu walikuwa na mipango ya kufa.