Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumbukumbu-Maongezi-Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumbukumbu-Maongezi-Kristo. Onyesha machapisho yote

1/25/2018

Sura ya 94. Wale Ambao Hawawezi Kuishi Mbele Ya Mungu Daima Ni Wasioamini

Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Sura ya 94. Wale Ambao Hawawezi Kuishi Mbele Ya Mungu Daima Ni Wasioamini

Mwenyezi Mungu alisema, Nguzo inapopandishwa kidogo, mnaweza kupiga hatua kidogo. Si jambo baya kuwa na mahitaji ya juu kutoka kwenu na wala si jambo baya kuwauliza maswali magumu. Lengo ni kuwafanya muwe na ufahamu zaidi juu ya elimu na maarifa ya kawaida ya kipengele cha weledi cha wajibu wenu.[a] Huenda labda nyinyi bado hulalamika katika nyoyo zenu, mkisema: "Tumejifunza mambo mengi mazuri lakini Mungu huwa hayataji kamwe au kuturuhusu kuyatumia. Kwa hiyo hatuthubutu kuyataja au kuyatumia. Je, na kama yakikanushwa mara tu tunapoyatumia? Na je, tukikosolewa? "Sasa Nawaambieni kwamba mnaweza kuyatumia mambo haya kwa ujasiri.

1/24/2018

Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Mwenyezi Mungu alisema, Mtu huwa na tatizo lipi anapopenda kupeana visingizio? Ni nini kiini chake? Yeye ni mkaidi. Watu wakaidi hawakubali ukweli kwa urahisi; sio watiifu, na wanaposikia neno moja ambalo haliambatani na dhana, mitazamo, wanayopenda, hisia au mihemko yao wenyewe, basi hawalikubali; husema, “Sijali iwapo liko sahihi au ni mbaya, ni nani aliyelinena, lilinenwa katika muktadha gani, au iwapo linahusiana na majukumu na wajibu wangu; siyajali mambo haya. Kuziridhisha hisia zangu mwenyewe ni suala muhimu .” Hii sio ukaidi? Ukaidi huwafanya watu kupoteza nini mwishowe? Huifanya vigumu kwao kupata ukweli.

1/19/2018

Sura ya 91. Kupitia Aina Tofauti Za Mazingira Kuna Manufaa Kwa ukuaji Wa Maisha Ya Binadamu | Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema, Ni vyema kupitia mazingira ya aina tofauti. Mungu hakupangii mazingira haya bila sababu. Yeye hakuongozi popote pale bila makusudi, bali Yeye huandaa mazingira fulani spesheli kwa kila mmoja—mazingira ya kifamilia, mazingira ya kimaisha, mazingira uliyokulia, na mazingira unatekeleza majukumu yako punde utakapo mwamini. Yeye hutayarisha hali au mazingira fulani spesheli kwako wewe kuzipitia.

1/18/2018

Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana

Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana

Mwenyezi Mungu alisema, Sio rahisi kwa vijana kuendeleza kazi; wengi wao hawadumishi mwendo. Ni lazima moyo wako uwe mtulivu, lazima uweze kudumisha mwendo na uwe tayari kutumia muda kwake. Wengine hujiburudisha au kuwachezea wengine, lakini wewe unasema, "Siwezi, sina wakati. Biashara yangu ina shughuli sana. Nendeni mkajiburudishe. Ni lazima niipange biashara yangu.” Unaweza tu kufaulu kwa kushughulika na kujitolea kwa biashara yako. Kwa kweli, hukosi nguvu sasa, wala hukosi ujuzi wa kitaalamu. Ili kuboresha hali yako ya kitaaluma, unaweza kufanya baadhi ya utafiti na ujifunze. Ni yapi zaidi, una msingi huu, akili hii, ujuzi huu maalum; unachokosa kwa kweli ni kutumia wakati na nguvu.

1/17/2018

Sura ya 62. Ili Kuwa Mwaminifu, Unapaswa Kujiweka Wazi kwa Wengine

Mwenyezi Mungu alisema, Je, mna uzoefu wowote wa kuwa waaminifu? (Ni vigumu kuwa mwaminifu). Na mbona ni vigumu? (Ninapotafakari juu yangu kila siku, nagundua kuwa najua vyema kujifanya, na kwamba nimesema mengi ambayo si sahihi. Wakati mwingine, maneneo yangu yatakuwa na hisia na motisha, wakati mwingine, nitaunda ujanja fulani ili kutimiza malengo yangu, nikisema ukweli nusu ambao haulingani na mambo ya hakika; maneno mengine, pia, yatakuwa hayapasi kabisa, na ya kubuniwa.) Mambo haya ni upande mdanganyifu wa tabia potovu ya watu. Mbona watu hujihusisha na udanganyifu kama huu?

1/15/2018

Sura ya 59. Namna ya Kumridhisha Mungu katikati ya Majaribu

Sura ya 59. Namna ya Kumridhisha Mungu katikati ya Majaribu

Mwenyezi Mungu alisema, Ninaibua maswali machache kwa tafakari yenu: Tangu mara ya mwisho tuliposema kwamba kutakuwa na miaka saba mingine ya majaribu makubwa, iwe ni kwa dhiki au majanga, je, mmegundua kusudi la Mungu kupitia kwa hayo? Ni asili gani ya binadamu mnaweza kuona katika mijibizo na mitazamo ya watu kwa miaka hii saba ya majaribu? Hili litachanganuliwa vipi? Fikirieni hilo. Ninazungumzia asili ya binadamu katika kila ushirika, kufikia chanzo, kuchanganua asili ya binadamu, na kuchanganua kiini. Ni juu yenu basi kuwasiliana ufahamu wenu kuhusu hizi mada.

1/14/2018

Sura ya 58. Upendo wa Kweli wa Mungu kwa Wanadamu

Sura ya 58. Upendo wa Kweli wa Mungu kwa Wanadamu

    Mwenyezi Mungu alisema, Katika kukifahamu kiini cha Kristo, kipengele kimoja ni kuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya kupata mwili Kwake na binadamu; aidha, watu ambao wanafahamu kiini cha Kristo wana uwezo zaidi kuwa hakika kuhusu Mungu kuwa mwili na uwezo zaidi wa kuamini kuwa Yeye kweli Yupo, kuwa Yeye si nabii, mtume, wala mwenye kufunua, na hasa si mtu mdogo aliyetumwa hapa na Mungu; bali Yeye ni mwenye mwili, Yeye ni Kristo, Naye ni Mungu Mwenyewe. Hata kama mwili ulikuwa sehemu miongoni mwa watu, Alikuwa mtu wa kawaida na kiini cha Uungu.

1/13/2018

Sura ya 56. Je, Unauelewa Upendo wa Mungu kwa Binadamu?

Sura ya 56. Je, Unauelewa Upendo wa Mungu kwa Binadamu?

Mwenyezi Mungu alisema, Upendo wa Mungu, ambaye alikuwa mwili, unajidhihirisha wapi kwa binadamu? Baada ya kupitia uzoefu wa kazi hatua kwa hatua, mnaweza kuona kwamba Mungu anapozungumza katika kila hatua ya kazi, anatumia ruwaza fulani, anazungumza unabii fulani, na anaonyesha ukweli fulani na tabia ya Mungu, na watu wote wana mijibizo. Mijibizo yao ni nini? Hawajinyenyekeshi kwa Mungu, hususan hawachukui hatua ya kutafuta ukweli, au hawapo radhi kukubali kazi ya Mungu. Wote wana mitazamo hasi na wabishi, na wanakanganyikiwa, wanakataa na hawakubali.

1/12/2018

Sura ya 55. Usieleze Kile Mungu Alicho Nacho na Kile Alicho

Sura ya 55. Usieleze Kile Mungu Alicho Nacho na Kile Alicho

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na matamshi ya Mungu ya miaka michache iliyopita yote yamerekodiwa kimsingi katika kitabu, Neno Laonekana katika Mwili. Baadhi ya maneno katika kitabu hiki ni ya kinabii na yanatabiri vile enzi za baadaye zitakavyokuwa. Unabii kwa kweli ni mfumo wa jumla, na zaidi ya nusu ya kitabu kinajadili kuingia kwa mwanadamu kwa maisha, kinaweka wazi utu, na kinazungumzia kuhusu kumwelewa Mungu na tabia Yake. Na kuhusu enzi gani, enzi ngapi na ufalme wa aina gani mwanadamu ataingia baadaye, je, hakuna mipango makini, hakuna marejeleo maalum na zaidi hakuna vipindi vya muda?

1/11/2018

Sura ya 54. Watu Ambao Daima Wana Mahitaji kwa Mungu Ndio wa Mwisho Kuwa Tayari Kusikia Hoja

 Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Sura ya 54. Watu Ambao Daima Wana Mahitaji kwa Mungu Ndio wa Mwisho Kuwa Tayari Kusikia Hoja
Mwenyezi Mungu alisema, Kama utajielewa, ni lazima uielewe hali yako ya kweli; jambo muhimu zaidi katika kuielewa hali yako mwenyewe ni kuwa na ufahamu juu ya fikira zako na mawazo yako. Katika kila kipindi cha muda, fikira za watu zimekuwa zikidhibitiwa na jambo moja kubwa; ikiwa unaweza kuzielewa fikira zako, unaweza kukielewa kitu kilicho nyuma yazo. Hakuna mtu anayeweza kuzidhibiti fikira na mawazo yake. Je, fikira na mawazo haya hutoka wapi? Je, ni nini kiini cha matilaba haya?

1/10/2018

Sura ya 53. Kuelewa Visawe na Tofauti katika Asili ya Binadamu | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Mwenyezi Mungu alisema, Je, mnaona kwa dhahiri njia ya imani yenu kwa Mungu na njia yenu ya kufuata ukweli? Imani katika Mungu kweli ni nini? Je, mmetosheka baada ya kupitia shida kidogo? Watu wengine hufikiri kwamba baada ya kupitia hukumu na kuadibiwa, kupogolewa na ushughulikiwaji au baada ya kufichua hali yao ya kweli, wamemaliza na matokeo yao yameonekana.

1/09/2018

Sura ya 52. Dalili za Udanganyifu Ndani ya Mwanadamu na Asili ya Mwanadamu Ambazo Humsaliti Mungu

Sura ya 52. Dalili za Udanganyifu Ndani ya Mwanadamu na Asili ya Mwanadamu Ambazo Humsaliti Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Ugumu ambao watu wanaweza kuukabili kwa urahisi katika uzoefu wao, vitu ambavyo vinawasababisha watu kuanguka kwa urahisi, na pahali ambapo udhaifu wa jaala wa kila mtu upo yote ni masuala ambayo lazima mtu awe na ujuzi nayo. Kwa nini unaanguka, unamwacha Mungu na kupoteza imani ya kuendelea na ukimbiziaji wako wa ukweli unapokabiliana na mambo fulani?

1/08/2018

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Mwenyezi Mungu alisema, Ninyi nyote mara nyingi mmepata uzoefu wa hali ya kuwa katika mkutano, na kuhisi kana kwamba huna chochote cha kuhubiri kuhusu—hatimaye unajilazimisha na unasema kitu cha juu juu. Unajua vizuri kuwa maneno haya ya juu juu ni kanuni, lakini unahubiri kuyahusu hata hivyo, na mwishowe unahisi kuwa huna shauku, na watu chini yako wanasikiliza na wanahisi kuwa yanachosha sana—je hilo halijafanyika? Kama inabidi ujilazimishe kuhubiri, basi kwa upande mmoja Roho Mtakatifu hatafanya kazi, na kwa upande huo mwingine, hakuna faida kwa watu.

1/07/2018

Sura ya 49. Unapaswa Kuutumia Ukweli Kumaliza Hali Yako Hasi

Sura ya 49. Unapaswa Kuutumia Ukweli Kumaliza Hali Yako Hasi

  Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wana hali hizi ambazo tumejadiliana hapo awali, hata ingawa si wazi kama hapo awali. Hii ni kwa sababu watu hawakuwa na ufahamu wowote wa ukweli wakati huo, na hawakuelewa chochote. Siku hizi, unasikiliza zaidi, na kwa kiwango cha chini kabisa, nyote mnaelewa baadhi ya mafundisho. Hata hivyo, una hali fulani zilizojikita ndani ambazo hazijafunuliwa. Una uwezo wa kuuona upotovu kwa wazi ambao mara nyingi hufunuliwa na kuwa na ufahamu mara tu unapofunuliwa; unajua asili ya malengo yako yaliyofunuliwa, maneno, na vitendo.

1/06/2018

Sura ya 48. Ni kwa Kuzielewa Hali Zako tu Ndipo Utakapoweza Kutembea Katika Njia Sawa | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Mwenyezi Mungu alisema, Ndani ya mwanadamu mara nyingi zipo baadhi ya hali mbaya. Miongoni mwao ni baadhi ya hali ambazo zinaweza kuwaathiri watu au kuwadhibiti. Kunazo baadhi ya hali ambazo zinaweza hata kumfanya mtu kuiacha njia ya kweli na kuelekea katika njia mbovu. Kile mwanadamu anachokitafuta, kile wanachozingatia na njia wanayochagua kuifuata—haya yote yanahusiana na hali zao za ndani. Hata zaidi ni udhaifu wa mwanadamu au nguvu inayohuhusiana moja kwa moja na hali zao za ndani.

1/05/2018

Sura ya 46. Ni Kwa Kuujua Uweza wa Mungu Pekee Ndipo Unaweza Kuwa na Imani ya Kweli

Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Sura ya 46. Ni Kwa Kuujua Uweza wa Mungu Pekee Ndipo Unaweza Kuwa na Imani ya Kweli

Mwenyezi Mungu alisema, Wengi wa watu hawaelewi kazi ya Mungu na si rahisi kuelewa kipengele hiki. Kitu cha kwanza ambacho lazima ujue ni kwamba kunawakati ulioteuliwa wa kazi yote ya Mungu na bila shaka si kama ilivyodhaniwa na watu. Mwanadamu hawezi kamwe kuelewa kazi ambayo Mungu ataifanya ama wakati Ataifanya. Anafanya sasa kile kinachostahili kufanywa sasa na hiki ni kitu ambacho hakuna anayeweza kukiharibu; Anafanya baadaye kile kinachostahili kufanywa baadaye, na hachelewi hata kwa sekunde moja, na hakuna anayeweza kuharibu jambo hilo pia.

1/04/2018

Sura ya 45. Watu Waliochanganyikiwa Hawawezi Kuokolewa | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Mwenyezi Mungu alisema, Imesemwa “Yeye afuataye hadi mwisho ataokolewa,” lakini hili ni rahisi kuweka katika vitendo? Sio, na watu wengine hawawezi kufuata hadi mwisho. Pengine watakapokabiliwa na wakati wa majaribu, ama uchungu, ama jaribio, basi wanaweza kuanguka, na kutoweza kusonga mbele tena. Mambo ambayo hufanyika kila siku, yawe ni makubwa ama madogo, yanaweza kutikisa uthabiti wako, kuumiliki moyo wako, kuzuilia uwezo wako wa kufanya jukumu lako, ama kudhibiti kuendelea kwako mbele—vitu hivi vyote vinahitaji kuchukuliwa kwa uzito, lazima vichunguzwe kwa makini ili kuutafuta ukweli, na ni vitu vyote ambavyo vinafanyika katika ulimwengu wa uzoefu.

1/03/2018

Sura ya 44. Kuutoa Ukweli Ndiyo Njia ya Kweli ya Kuwaongoza Wengine

Sura ya 44. Kuutoa Ukweli Ndiyo Njia ya Kweli ya Kuwaongoza Wengine

Mwenyezi Mungu alisema, Ikiwa mnataka kufanya kazi nzuri katika kuwaongoza wengine na kuhudumu kama mashahidi wa Mungu, la muhimu zaidi, lazima uwe na ufahamu wa kina wa kusudi la Mungu katika kuwaokoa watu na kusudi la kazi Yake. Lazima uyaelewe mapenzi ya Mungu na mahitaji Yake mbalimbali ya watu. Unapaswa kuwa mwenye utendaji katika juhudi zenu; upitie tu kiasi unachoelewa na kuwasiliana tu kile unachokijua. Usijisifu, usitie chumvi, na usiseme maneno yasiyopaswa.

1/02/2018

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Kwa kutafuta ukweli tu ndipo utapata mabadiliko katika tabia yako: Hili ni jambo unalofaa kulielewa na kulielewa vizuri kabisa. Usipoelewa ukweli vya kutosha, utateleza kwa urahisi na kupotoka. Kutafuta kukua katika maisha lazima utafute ukweli katika kila kitu. Haijalishi suala gani laweza kutokea, lazima utafute kukumbana nalo katika njia inayopatana na ukweli, kwa sababu ukikumbana nayo kwa njia isiyo safi kabisa, basi unaenda kinyume na ukweli. Chochote ufanyacho, lazima kila wakati ufikirie thamani yake.  

1/01/2018

Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo

Je, ni vitu vipi vya asili ya mwanadamu? Unajua tu kuhusu upotovu wa mwanadamu, uasi, upungufu, dosari, fikra, na dhamira, lakini huwezi kugundua sehemu za ndani za asili ya mwanadamu—unafahamu tu safu ya nje, lakini huwezi kugundua chanzo chake. Baadhi hata hufikiri haya mambo ya juu kuwa ni asili ya mwanadamu, wakisema, “Ona, ninaelewa asili ya mwanadamu; ninatambua ufidhuli wangu. Je, hiyo si asili ya mwandamu?”