Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Neno. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Neno. Onyesha machapisho yote

1/12/2018

Sura ya 55. Usieleze Kile Mungu Alicho Nacho na Kile Alicho

Sura ya 55. Usieleze Kile Mungu Alicho Nacho na Kile Alicho

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na matamshi ya Mungu ya miaka michache iliyopita yote yamerekodiwa kimsingi katika kitabu, Neno Laonekana katika Mwili. Baadhi ya maneno katika kitabu hiki ni ya kinabii na yanatabiri vile enzi za baadaye zitakavyokuwa. Unabii kwa kweli ni mfumo wa jumla, na zaidi ya nusu ya kitabu kinajadili kuingia kwa mwanadamu kwa maisha, kinaweka wazi utu, na kinazungumzia kuhusu kumwelewa Mungu na tabia Yake. Na kuhusu enzi gani, enzi ngapi na ufalme wa aina gani mwanadamu ataingia baadaye, je, hakuna mipango makini, hakuna marejeleo maalum na zaidi hakuna vipindi vya muda?