Mwenyezi Mungu alisema, Je, mna uzoefu wowote wa kuwa waaminifu? (Ni vigumu kuwa mwaminifu). Na mbona ni vigumu? (Ninapotafakari juu yangu kila siku, nagundua kuwa najua vyema kujifanya, na kwamba nimesema mengi ambayo si sahihi. Wakati mwingine, maneneo yangu yatakuwa na hisia na motisha, wakati mwingine, nitaunda ujanja fulani ili kutimiza malengo yangu, nikisema ukweli nusu ambao haulingani na mambo ya hakika; maneno mengine, pia, yatakuwa hayapasi kabisa, na ya kubuniwa.) Mambo haya ni upande mdanganyifu wa tabia potovu ya watu. Mbona watu hujihusisha na udanganyifu kama huu?
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho.
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mwaminifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mwaminifu. Onyesha machapisho yote
12/04/2017
Maonyo Matatu
Mwenyezi Mungu alisema, Kama muumini wa Mungu, hufai kuwa watiifu kwa yeyote mwingine isipokuwa Yeye katika mambo yote na mjilinganishe na moyo Wake katika mambo yote. Hata hivyo, ingawa wote huelewa mafundisho haya, ukweli huu wa kimsingi ulio wazi kabisa kwa binadamu hauwezi kuonekana kuwa kujumuishwa kwao kikamilifu, kutokana na ugumu wao, kama vile hali yao ya kutojua, upuzi, au ufisadi.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
