Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kutafuta-Ukweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kutafuta-Ukweli. Onyesha machapisho yote

8/23/2018

Umuhimu wa Uratibu Katika Huduma

    Umuhimu wa Uratibu Katika Huduma

Mei Jie    Jijini Jinan, Mkoani Shandong
Baada ya kubadilisha uongozi wa kanisa kurudi kwa ule wa asili, ubia uliwekwa kwa kila ngazi ya kiongozi katika nyumba ya Mungu. Wakati huo, nilifikiri kwamba huu ulikuwa mpangilio mzuri. Nilikuwa wa ubora wa tabia wa chini na nilikuwa na kazi nyingi; kwa kweli nilihitaji mbia wa kunisaidia kukamilisha kila aina ya kazi katika eneo langu.

6/15/2018

Nilijifunza Kufanya Kazi na Wengin

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, maombi

Nilijifunza Kufanya Kazi na Wengin

Liu Heng    Mkoa wa Jiangxi
Kupitia neema na kuinuliwa kwa Mungu, nilichukua jukumu la kuwa kiongozi wa kanisa. Wakati huo, nilikuwa na shauku mno na niliweka azimio mbele ya Mungu: Bila kujali kinachonikabili, sitayatelekeza majukumu yangu. Nitafanya kazi vizuri na yule dada mwingine na nitakuwa mtu anayetafuta ukweli. Lakini nilikuwa nimeamua tu, na sikujua jinsi ya kuingia katika uhalisi wa uhusiano wa kufanya kazi kwa mpangilio wa kuridhisha. Nilipoanza mwanzo kushirikiana na dada ambaye nilikuwa nikifanya kazi naye, na tulipokuwa na maoni tofauti au migogoro, ningemwomba Mungu kwa uwazi nikimuuliza Yeye kuulinda moyo wangu na roho yangu ili nisimlaumu mshirika wangu.

6/12/2018

Umeme wa Mashariki | Vitabu vya Shetani Vinaweza Kutulisha Sumu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

Umeme wa Mashariki | Vitabu vya Shetani Vinaweza Kutulisha Sumu

Peihe    Jiji la Xianning, Mkoa wa Hubei
Daima niliamini kwamba mimi na mume wangu tulipitia maisha yetu "na nyuso zetu kwa mchanga na migongo yetu kwa jua" kwa sababu hatukusoma vya kutosha tulipokuwa vijana, na kwa sababu hatukuwa na elimu. Ndiyo sababu niliamua kuwa bila kujali ni kwa ugumu gani au kiasi gani ningeteseka, ningewapeleka wanangu wa kiume na binti zangu shuleni ili waweze kufanikisha kitu fulani, na hawangelazimika kufuata nyayo zetu. Hilo likituongoza, mume wangu nami tulikula na kuvaa pasipo anasa na tulitafuta pesa kwa shida ili kumpeleka binti yetu mkubwa kwa chuo cha ufundi na mwana wetu wa kiume mkubwa kwa chuo kikuu.

6/04/2018

Nilipitia Wokovu wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, maombi

   Nilipitia Wokovu wa Mungu

Cheng Hao    Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan
Kwa neema ya Mungu, mimi na mke wangu tulipandishwa vyeo hadi kwa timu ya injili ya pili ili kutimiza wajibu wetu. Muda mfupi uliopita, mke wangu alipandishwa cheo kuwa mkurugenzi wa timu, huku mimi, kutokana na kiburi changu mwenyewe na utukutu wangu, nilipoteza kazi ya Roho Mtakatifu na kupelekwa nyumbani kutafakari juu ya matendo yangu. Kutokana na kwamba mimi na mke wangu tulianza kutimiza wajibu wetu wakati mmoja, lilikuwa jambo gumu kukubali kumuona akipandishwa cheo wakati nilifukuzwa kutoka kwa wajibu wangu.

5/31/2018

Umeme wa Mashariki | Niko Tayari Kukubali Usimamizi wa Wote

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

Umeme wa Mashariki | Niko Tayari Kukubali Usimamizi wa Wote

Xianshang     Mji wa Jinzhong, Mkoa wa Shanxi
Muda mfupi uliopita, kila wakati niliposikia kwamba wahubiri wa wilaya walikuwa wakija kwa kanisa letu, ningehisi kutaharaki kiasi. Sikufichua hisia zangu kwa nje, lakini moyo wangu ulijaa upinzani wa siri. Nilidhani: "Ingekuwa bora kama nyinyi nyote hamkuja. Mkija, angalau msifanye kazi kanisani nami. Vinginevyo, nitakuwa nimewekewa mipaka na kutoweza kuwasiliana kwa karibu." Baadaye, hali hiyo ilikuwa mbaya sana kiasi kwamba kwa kweli nilichukia kuja kwao.

5/15/2018

Umeme wa Mashariki | Tafakuri kuhusu Kubadilishwa

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, neema

 Umeme wa Mashariki | Tafakuri kuhusu Kubadilishwa

Yi Ran    Mji wa Laiwu , Mkoa wa Shandong
Wakati fulani awali, kwa sababu yangu kutoelewa kanuni iliyotumiwa na kanisa ya masahihisho ya wafanyakazi wa kanisa, wakati kanisa lilibadilisha kiongozi, dhana iliibuka ndani yangu. Kutoka kwa kile nilichoweza kuona, dada aliyebadilishwa alikuwa mzuri sana kwa kupokea na kushirikiana ukweli, na aliweza kuwa wazi juu ya maonyesho yake ya upotovu. Kwa hiyo sikuweza kujua asilani jinsi mtu fulani aliyetafuta ukweli sana angeweza kubadilishwa. Inawezekana kwamba yeye alizungumza juu ya maonyesho yake mwenyewe ya upotovu sana, na hivyo kiongozi wake kwa makosa alimchukua kuwa mtu asiyefuatilia ukweli, na kumbadilisha?

5/07/2018

Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa

Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Heyi   Mji wa Zhuanghe, Mkoa wa Liaoning
Nilikuwa nimepandishwa cheo tu kuchukua jukumu la kiongozi wa kanisa. Lakini baada ya kipindi cha kazi ngumu, sio tu kuwa kazi ya kiinjili ilikuwa bila uhai kiasi, lakini ndugu zangu wa kiume na wa kike katika timu ya kiinjili walikuwa pia wakiishi katika hali hasi na ya udhaifu. Nikiwa nimekabiliwa na hali hii, sikuweza tena kudhibiti hisia zangu. Ni vipi tena ningeweza kuiamsha kazi ya kiinjili? Baada ya kupiga ubongo wangu, hatimaye nilifikiria suluhisho zuri: Kama ningefanya sherehe ya kila mwezi kwa timu ya kiinjili na kuwachagua watu waliojipambanua na wahubiri wa kielelezo, yeyote ambaye angeshinda roho zaidi kwa ajili ya Mungu angepewa thawabu, na yeyote ambaye angeshinda roho chache angeonywa.

1/02/2018

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Kwa kutafuta ukweli tu ndipo utapata mabadiliko katika tabia yako: Hili ni jambo unalofaa kulielewa na kulielewa vizuri kabisa. Usipoelewa ukweli vya kutosha, utateleza kwa urahisi na kupotoka. Kutafuta kukua katika maisha lazima utafute ukweli katika kila kitu. Haijalishi suala gani laweza kutokea, lazima utafute kukumbana nalo katika njia inayopatana na ukweli, kwa sababu ukikumbana nayo kwa njia isiyo safi kabisa, basi unaenda kinyume na ukweli. Chochote ufanyacho, lazima kila wakati ufikirie thamani yake.