Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kujijua-Mwenyewe. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kujijua-Mwenyewe. Onyesha machapisho yote

5/15/2018

Umeme wa Mashariki | Tafakuri kuhusu Kubadilishwa

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, neema

 Umeme wa Mashariki | Tafakuri kuhusu Kubadilishwa

Yi Ran    Mji wa Laiwu , Mkoa wa Shandong
Wakati fulani awali, kwa sababu yangu kutoelewa kanuni iliyotumiwa na kanisa ya masahihisho ya wafanyakazi wa kanisa, wakati kanisa lilibadilisha kiongozi, dhana iliibuka ndani yangu. Kutoka kwa kile nilichoweza kuona, dada aliyebadilishwa alikuwa mzuri sana kwa kupokea na kushirikiana ukweli, na aliweza kuwa wazi juu ya maonyesho yake ya upotovu. Kwa hiyo sikuweza kujua asilani jinsi mtu fulani aliyetafuta ukweli sana angeweza kubadilishwa. Inawezekana kwamba yeye alizungumza juu ya maonyesho yake mwenyewe ya upotovu sana, na hivyo kiongozi wake kwa makosa alimchukua kuwa mtu asiyefuatilia ukweli, na kumbadilisha?

4/26/2018

Umeme wa Mashariki | Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,neema

      Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

He Jiejing Jiji la Hezhou, Mkoa wa Guangxi
Dada mmoja na mimi tuliunganishwa ili tusahihishe makala pamoja. Tulipokuwa tukikutana, nilitambua kuwa haikujalisha kama ilikuwa ni kuimba, kucheza ngoma, kupokea neno la Mungu, au kuwasiliana ukweli, huyu dada alikuwa bora kuniliko katika kila kipengele. Ndugu wa kiume na wa kike wa familia mwenyeji wote walimpenda na wangezungumza naye. Kwa sababu ya hili, moyo wangu ulikuwa na wasiwasi sana na nilihisi kama nilikosa kuthaminiwa—hata kufikia kiasi kwamba nilifikiri kuwa mradi alikuwa huko, hakukuwa na nafasi yangu. Moyoni mwangu nilianza kuhisi kuchoshwa naye na kutotaka kuandamana naye katika kutimiza wajibu wetu.

12/28/2017

Sura ya 36. Kujijua Mwenyewe Hasa Ni Kujua Asili ya Binadamu | Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema, La muhimu katika kufikia badiliko la tabia ni kujua asili ya mtu mwenyewe, na hili ni lazima litoke kwa ufunuo na Mungu. Ni katika neno la Mungu tu ambapo mtu anaweza kujua asili yake ya kutia kinyaa, afahamu katika asili yake mwenyewe sumu mbalimbali za Shetani, atambue kuwa yeye ni mjinga na mpumbavu, na atambue dalili dhaifu na hasi katika asili yake mwenyewe. Mara haya yanapojulikana kikamilifu, na unaweza kwa hakika kunyima mwili, daima kutekeleza neno la Mungu, na kuwa na mapenzi ya kujiwasilisha kikamilifu kwa Roho Mtakatifu na kwa neno la Mungu, basi umeianza njia ya Petro. Bila neema ya Mungu, kama hakuna kupata nuru na mwongozo kutoka kwa Roho Mtakatifu, ingekuwa vigumu sana kuitembea njia hii, kwa sababu watu hawana ukweli na hawawezi kujisaliti wenyewe.