Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumjua-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumjua-Mungu. Onyesha machapisho yote

7/05/2019

Maneno ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu III” Sehemu ya Pili

 

Maneno ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu III” Sehemu ya Pili


Mwenyezi Mungu anasema, “Zaidi ya mwanadamu kutafuta kwa tamaa umaarufu na faida, daima anaendelea kutekeleza uchunguzi wa sayansi na utafiti wa kina, kisha bila kikomo huridhisha mahitaji yake ya mwili na tamaa; yapi tena ni matokeo ya mwanadamu? Kwanza kabisa hakuna tena usawa wa ikolojia na, pamoja na hili, miili ya wanadamu yote imetiwa doa na kuharibiwa na mazingira ya hali hii, na magonjwa mbalimbali ya kuambukiza na mapigo kusambaa kila mahali. Hii ni hali ambayo mwanadamu sasa hawezi kudhibiti, sivyo? Sasa kwa sababu mnaelewa hili, iwapo wanadamu hawamfuati Mungu, lakini daima wanamfuata Shetani kwa njia hii—kutumia maarifa daima kujitajirisha, kutumia sayansi kuchunguza bila kikomo siku za baadaye za maisha ya binadamu, kutumia mbinu ya aina hii kuendelea kuishi—mnaweza kutambua hitimisho ya asili ya wanadamu itakuwa vipi?

7/03/2019

Maneno ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu (III)” Sehemu ya Tatu

 

Maneno ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu (III)” Sehemu ya Tatu


Mwenyezi Mungu anasema, “Kwa sababu Mungu hana upotovu wowote wa mwanadamu na hana chochote sawa na, au kinachofanana na tabia potovu ya mwanadamu ama kiini cha Shetani, kutoka mtazamo huu tunaweza kusema kwamba Mungu ni mtakatifu. Mungu hafichui upotovu wowote, na ufunuo wa kiini Chake katika kazi Yake yote ni thibitisho tunalohitaji kwamba Mungu Mwenyewe ni mtakatifu. Je, mnaona hili? Sasa, kujua asili takatifu ya Mungu, kwa sasa wacha tuangalie hivi vipengele viwili: 1) Hakuna tabia potovu ndani ya Mungu; 2) kiini cha kazi ya Mungu kwa mwanadamu kinamruhusu mwanadamu kuona kiini cha Mungu mwenyewe na kiini hiki ni kizuri kabisa.

6/30/2019

Maneno ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu (III)” Sehemu ya Kwanza

 

Maneno ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu (III)” Sehemu ya Kwanza


Mwenyezi Mungu anasema, “Kwa hivyo Shetani hutumia umaarufu na faida kudhibiti fikira za mwanadamu hadi anachofikiria tu ni umaarifa na faida. Wanapambana kwa sababu ya umaarufu na faida, wanateseka matatizo kwa sababu ya umaarufu na faida, wanastahimili udhalilishaji kwa sababu ya umaarufu na faida, wanatoa kila kitu walichonacho kwa sababu ya umaarufu na faida, na watafanya maoni au uamuzi wowote kudumisha na kupata umaarufu na faida. Kwa njia hii, Shetani humfunga mwanadamu kwa pingu zisizoonekana. Pingu hizi zinabebwa katika miili ya watu, na hawana nguvu ama ujasiri wa kuzirusha mbali.

6/01/2019

Wimbo wa Kuabudu 250. Njia ya Kujua Mamlaka ya Mungu

Wimbo wa Kuabudu 250. Njia ya Kujua Mamlaka ya Mungu

I
Ujuzi wako wa mamlaka ya Mungu,
nguvu Zake, utambulisho na kiini
haviwezi kufanikishwa au kupatikana
kutokana na mawazo yako.
Usifikiri, haimaanishi usifanye chochote,
au kaa tu na kusubiri uharibifu.
Inamaanisha usifahamu kutumia mantiki,
wala kujifunza kupitia maarifa au sayansi.

5/19/2019

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa



Wimbo wa Kuabudu | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa

I

Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,

Amekuwa akifichua kwao

Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho,

bila kukoma, kila wakati.

Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,

Mungu huzungumza na kufanya kazi

ili kuonyesha tabia Yake na kiini.

5/17/2019

Wimbo wa Injili | Wimbo wa Kifuasi cha Dhati

Smiley face

Wimbo wa Injili | Wimbo wa Kifuasi cha Dhati


I

Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.

Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.

Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote.

Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.

Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.

Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.

5/06/2019

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu



Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu

I
Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu,
Mungu anageuka kuutazama ulimwengu
na unaanza kutingika.
Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake?
Ama kuishi katika janga Analotoa?
Kila mahali Aendapo anamwaga mbegu ya janga,
lakini kupitia kwayo Anatoa wokovu
na kuonyesha upendo Wake.
Mungu anatamani kuwafanya watu zaidi kumjua,
kumwona na kumheshimu.

5/01/2019

69. Kufuatilia Ukweli ili Kujiokoa Mwenyewe

69. Kufuatilia Ukweli ili Kujiokoa Mwenyewe

Ninathibitisha kwamba Kristo ndiye ukweli, njia, na uzima.
Sitapumzika mpaka nimjue Mungu!
Kama siwezi kuvumilia mateso ninayopaswa kubeba, sitastahili kuitwa binadamu kamwe.
Kama siwezi kulipiza upendo wa Mungu nitahisi aibu mno kumwona Yeye.

4/30/2019

240. Enzi Tofauti, Kazi Tofauti ya Mungu



240. Enzi Tofauti, Kazi Tofauti ya Mungu

Katika siku za mwisho, hasa ni ukweli
kwamba "Neno linakuwa mwili"
ambalo limetimizwa na Mungu.
I
Kupitia kazi Yake halisi duniani,
Mungu humfanya mwanadamu kumjua,
humfanya mwanadamu kushiriki naye,
na humfanya mwanadamu aone matendo Yake halisi.

4/23/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 72

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 72

Sharti unitegemee kuondoa upungufu ama udhaifu mara tu unapougundua. Usichelewe; vinginevyo kazi ya Roho Mtakatifu atakuwa mbali sana nawe, na utaanguka nyuma mbali sana. Kazi ambayo Nimekuaminia inaweza kutimizwa kwa kupitia tu kukaribia kwako mara kwa mara, kuomba, na kuwa na ushirika katika uwepo Wangu. Kama sivyo, hakuna matokeo yoyote yatakayofikiwa, na kila kitu kitakuwa bure. Kazi Yangu leo si kama ilivyokuwa awali.

4/05/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 76

neno la Mungu,kumjua Mungu,upendo wa Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 76

Matamshi Yangu yote ni maonyesho ya mapenzi Yangu. Ni nani anayeweza kuudhukuru mzigo Wangu? Nani anayeweza kuelewa nia Yangu? Je, mmefikiria kila moja ya maswali Niliyoibua kwenu? Uzembe ulioje! Unathubutu vipi kuvuruga mipango Yangu? Wewe u mshenzi kweli! Kazi kama hii ya pepo wabaya ikiendelea, Nitawatupa mautini mara moja katika shimo lisilo na mwisho! Kwa muda mrefu Nimeona waziwazi matendo mbalimbali ya pepo wabaya.

3/28/2019

Maneno ya Mungu | Sura ya 96

maneno ya Mungu,Kazi ya Mungu,kumjua Mungu

Maneno ya Mungu | Sura ya 96

Mwenyezi Mungu alisema, Nitamwadibu kila mtu aliyezaliwa kutoka Kwangu ambaye bado hanijui ili kuonyesha ghadhabu Yangu yote, kuonyesha nguvu Zangu kuu, na kuonyesha hekima Yangu kamili. Ndani Yangu kila kitu ni chenye haki na bila shaka hakuna udhalimu, hakuna udanganyifu, na hakuna upotovu; yeyote ambaye ni mpotovu na mdanganyifu lazima awe ni mwana wa jahanamu—lazima amezaliwa huko kuzimu.

3/24/2019

Neno la Mungu | Sura ya 39

neno la Mungu,kumjua Mungu,ukweli

Neno la Mungu | Sura ya 39

Mwenyezi Mungu alisema, Fungua macho yako na uangalie na unaweza kuona nguvu Zangu kuu kila mahali! Unaweza kuwa na uhakika na Mimi kila mahali. Ulimwengu na anga unaeneza nguvu Zangu kuu. Maneno ambayo Nimenena yametimia katika ongezeko la joto la hali ya hewa, mabadiliko ya hali ya hewa, vioja vya watu, ulemavu wa elimumwendo ya kijamii, na udanganyifu wa mioyo ya watu. Jua linakuwa jeupe na mwezi unakuwa mwekundu; Yote yako katika machafuko.

3/19/2019

Neno la Mungu | Sura ya 45

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,neema

Neno la Mungu | Sura ya 45

Mnawahukumu ndugu zenu hadharani kana kwamba si kitu. Hakika hamjui mema na maovu; hamna aibu! Je, hii si tabia mbaya ya kifidhuli, ya kutojali? Kila mmoja wenu amechanganyikiwa na ni mwenye moyo mzito; mnabeba mizigo mingi na hakuna sehemu Yangu ndani yako. Watu vipofu! Ninyi ni wakatili namna gani—hili litakoma lini?

3/16/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 85


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 85

Mwenyezi Mungu alisema, Mimi huwatumia watu tofauti kufanikisha mapenzi Yangu. Laana Zangu hufanikishwa kwa wale Ninaowaadibu na baraka Zangu kufanikishwa kwa wale ambao Ninawapenda. Ambao sasa hukutana na baraka Zangu na ambao hupitia laana Zangu kwa neno Langu moja na tamko Langu. Unajua kuwa yeyote Ninayekuwa mzuri kwake sasa hakika atakutana na baraka Zangu wakati wote (kumaanisha kuwa wale wanaokuja kunijua polepole, wanaokuwa na uhakika kunihusu polepole, wale walio na mwanga mpya na ufunuo na walio na uwezo wa kwenda mwendo sawa na wa kazi Yangu).

2/16/2019

Nyimbo za Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu

Nyimbo za Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu


I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiini.
Havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita,
Kiini na tabia ya Mungu, nafsi Yake na miliki yake,
vinafichuliwa Anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu.

1/29/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I Sehemu ya Pili

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I Sehemu ya Pili

Ili kuelewa tabia ya Mungu na Mungu Mwenyewe lazima muanzie na jambo dogo sana. Jambo hilo dogo sana mnalopaswa kuanzia ni nini? Kwanza kabisa, Nimezikusanya baadhi ya sura kutoka kwenye Biblia. Taarifa iliyo hapa chini inayo mistari ya Biblia, ambayo yote inahusiana na mada ya tabia ya Mungu, kazi ya Mungu na Mungu Mwenyewe.

1/27/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu


Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo kwa aina tofauti za binadamu, na iwapo kweli anaelewa kile ambacho Mungu Anafanya juu yake na jinsi Mungu Anaeleza kila tendo lake.

1/23/2019

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko La Tisa

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko La Tisa

Matamshi ya Mwenyezi Mungu: Kwa sababu kwamba wewe ni mmoja wa watu nyumbani Mwangu, na kwa sababu wewe ni mwaminifu katika Ufalme wangu, kila unachofanya lazima kifikie viwango Ninavyohitaji Mimi. Sisemi kwamba uwe tu kama wingu linalofuata upepo, bali uwe kama theluji inayong'aa, na uwe na hali kama yake na hata zaidi uwe na thamani yake.

1/20/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli


Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, na kwa kiwango cha chini zaidi hawaijui kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika.