Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo baraka. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo baraka. Onyesha machapisho yote

6/14/2019

256 Wale Wanaoyathamini Maneno ya Mungu Wamebarikiwa

256 Wale Wanaoyathamini Maneno ya Mungu Wamebarikiwa

I
Walio tayari kukubali kuangaliwa na Mungu
ni wale wanaofuatilia maarifa ya Mungu.
Wao wako tayari kukubali maneno ya Mungu.
Watapata urithi na baraka za Mungu.
Hawa ndio ambao wamebarikiwa zaidi.
Mungu huwalaani wale ambao hawana nafasi kwa ajili Yake.
Anawaadibu na kuwaacha.

6/05/2019

Wimbo wa Kuabudu 260 Wajibu wa Mtu ni Wito wa Kiumbe Aliyeumbwa

Wimbo wa Kuabudu 260 Wajibu wa Mtu ni Wito wa Kiumbe Aliyeumbwa

I
Wajibu wa mwanadamu hauhusu hata kidogo yeye kubarikiwa au kulaaniwa.
Wajibu wake ni kile anachopaswa kutimiza bila malipo au masharti.
"Kubarikiwa" kunamaanisha kufurahia wema baada ya mwanadamu kuhukumiwa na kufanywa mkamilifu.
"Kulaaniwa" kunamaanisha yeye ambaye anashindwa kubadilisha tabia yake
atapitia adhabu.

6/02/2019

Wimbo wa Kuabudu 251. Maana ya Kweli ya Maneno ya Mungu Haijawahi Kueleweka

Wimbo wa Kuabudu 251. Maana ya Kweli ya Maneno ya Mungu Haijawahi Kueleweka

I
Wanadamu hawajui jinsi ya kufurahia
baraka walizopangiwa mikononi mwa Mungu,
maana hawawezi tofautisha mateso kutoka baraka.
Hivyo si wakweli katika kumtaka Mungu.
Kama kesho isipofika,
ni nani kati yenu, akisimama mbele za Mungu,
angekuwa mweupe kama theluji inayoendeshwa,
kama kito safi bila doa lolote.

5/19/2019

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa



Wimbo wa Kuabudu | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa

I

Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,

Amekuwa akifichua kwao

Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho,

bila kukoma, kila wakati.

Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,

Mungu huzungumza na kufanya kazi

ili kuonyesha tabia Yake na kiini.

5/14/2019

Maneno ya Mungu | Sura ya 83

Maneno ya Mungu | Sura ya 83

Hujui kwamba Mimi ni Mwenyezi Mungu; hujui kwamba mambo yote na vitu vyote viko chini ya udhibiti Wangu! Maana ya kila kitu huumbwa na kukamilishwa na Mimi ni ni? Baraka au misiba ya kila mtu hutegemea utimilifu Wangu, matendo Yangu. Mwanadamu anaweza kufanya nini? Mwanadamu anaweza kufanikisha nini kwa kufikiri? Katika enzi hii ya mwisho, katika enzi hii potovu, katika dunia hii ya giza ambayo Shetani ameipotosha sana, ni kina nani wachache ambao wako jinsi Nipendavyo? Ikiwa ni leo, jana, au katika siku zijazo zisizo mbali, maisha ya kila mtu huamuliwa na Mimi. 

5/13/2019

Wimbo wa Kuabudu | Ni Wakati tu Ambapo Mungu Anakuwa MwiliNdipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake



Wimbo wa Kuabudu | Ni Wakati tu Ambapo Mungu Anakuwa MwiliNdipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake

I
Ni Wakati tu Mungu anapojinyenyekeza kwa kiwango fulani,
kumaanisha Anakuwa mwili ili kuishi kati ya wanadamu,
ndipo wataweza kuwa wasiri Wake,
ndipo watakuwa marafiki Zake wa karibu.
Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu
Wakati Mungu ni wa Roho,
‘metukuka na mgumu kumwelewa?
Ni kwa kuwa tu mwili ulioumbwa sawa na mwanadamu
mwanadamu ataweza mapenzi Yake, na kupatwa na Yeye.

4/09/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 93

neno la mungu,kingdom,baraka

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 93

Ukweli unatimizwa mbele ya macho ya mtu na mambo yote yametimizwa. Kazi Yangu inapata hatua, ikipanda juu kama roketi iliyofyatuliwa, ambayo hakuna mtu aliwahi kutarajia. Ni baada ya vitu kufanyika ndipo mtaelewa maana ya kweli ya maneno Yangu. Watoto wa joka kubwa jekundu si wa pekee na lazima wafanywe kushuhudia matendo Yangu ya ajabu kwa macho yao wenyewe. Usidhani kwamba Sitakutelekeza, sasa kwa kuwa una uhakika kunihusu baada ya kuona matendo Yangu—si rahisi hivyo! Yote ambayo Nimesema na mambo ambayo Nimeamua hakika Nitatimiza, na hayatarudi Kwangu yakiwa matupu.

4/06/2019

Nyimbo za kusifu | 234. Unapaswa Kuyachukuliaje Maneno na Vitendo Vyako Mwenyewe

Nyimbo za-kusifu,kumwamini Mungu,baraka,

Nyimbo za kusifu | 234. Unapaswa Kuyachukuliaje Maneno na Vitendo Vyako Mwenyewe

I

Unaamini maneno ya Mungu na rada?

Kwamba Atawaadhibu wanaodanganya, kumsaliti?

Unapenda zaidi siku hiyo ije mapema au baadaye?

Unaogopa adhabu,

au utampinga Mungu, hata ukijua kuna adhabu?

Na siku hiyo itakapofika,

utakuwa kati ya kilio au shangwe?

3/16/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 85


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 85

Mwenyezi Mungu alisema, Mimi huwatumia watu tofauti kufanikisha mapenzi Yangu. Laana Zangu hufanikishwa kwa wale Ninaowaadibu na baraka Zangu kufanikishwa kwa wale ambao Ninawapenda. Ambao sasa hukutana na baraka Zangu na ambao hupitia laana Zangu kwa neno Langu moja na tamko Langu. Unajua kuwa yeyote Ninayekuwa mzuri kwake sasa hakika atakutana na baraka Zangu wakati wote (kumaanisha kuwa wale wanaokuja kunijua polepole, wanaokuwa na uhakika kunihusu polepole, wale walio na mwanga mpya na ufunuo na walio na uwezo wa kwenda mwendo sawa na wa kazi Yangu).

3/15/2019

Neno la Mungu | Sura ya 97

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,neema

Neno la Mungu | Sura ya 97

Mwenyezi Mungu alisema, Nitafanya kila mtu aone matendo Yangu ya ajabu na kusikia maneno Yangu ya hekima. Ni lazima iwe kila mtu na ni lazima iwe juu ya kila suala. Hii ni amri Yangu ya utawala na ni ghadhabu Yangu. Nitahusisha kila mtu na kila jambo ili watu wote kutoka mwisho mmoja wa ulimwengu hadi mwingine wataona kwa macho yao wenyewe, la sivyo Sitaacha kamwe. Ghadhabu Yangu imemwagwa kikamilifu na hakuna hata chembe imezuiwa. Inaelekezwa kwa kila mtu mmoja ambaye anakubali jina hili (hivi karibuni itageuzwa juu ya mataifa yote ya dunia).

3/01/2019

Nyimbo za Dini | "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Nyimbo za Dini | "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu


Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Ninauunga mkono wajibu wangu
kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo.
Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini,
nina moyo wa uaminifu.

12/22/2018

Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa



Ni njia gani ambayo Mungu hutumia kumkamilisha mwanadamu? Ni vipengele vipi vinavyojumuishwa? Je, uko tayari kukamilishwa na Mungu? Je, uko tayari kukubali hukumu na kuadibu kwa Mungu? Unajua nini kuhusu maswali haya? Kama huwezi kuzungumzia maarifa kama haya, basi hii inaonyesha kwamba bado huijui kazi ya Mungu na hujapatiwa nuru katu na Roho Mtakatifu.

10/03/2017

Tamko la Ishirini na Sita | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

 Kanisa la Mwenyezi Mungu  


Ni nani ameshinda nyumbani Kwangu? Ni nani amesimama kwa ajili Yangu? Ni nani ameteseka kwa ajili Yangu? Ni nani ameweka ahadi yake mbele Zangu? Ni nani amenifuata hadi leo lakini hajakuwa wa kutojali? Mbona wanadamu wote wana ubaridi na hawana hisia? Mbona binadamu ameniacha? Mbona mwanadamu amechoka na Mimi? Mbona hakuna joto katika ulimwengu wa mwanadamu? Nikiwa Zayuni, Nimeonja joto lililo mbinguni, na Nikiwa Zayuni Nimefurahia baraka iliyoko mbinguni

10/02/2017

Tamko la Kumi na Tisa | Kanisa la Mwenyezi Mungu

 Kanisa la Mwenyezi Mungu   Umeme wa Mashariki, 

    Ni shughuli sahihi ya mwanadamu kuchukua maneno Yangu kama msingi wa maisha yake. Mwanadamu lazima aanzishe fungu lake binafsi katika kila sehemu ya maneno Yangu; kutofanya hivyo kutakuwa kuuliza matata, kutafuta maangamizo yake mwenyewe. Binadamu haunijui, na kwa sababu ya hili, badala ya kuleta maisha yake Kwangu badala, anachofanya ni kujipanga tu mbele Yangu na takataka mikononi mwake, na hivyo kujaribu kuniridhisha. Lakini, mbali na kuridhishwa na mambo yalivyo, Naendelea kutoa matakwa kwa binadamu. 

9/26/2017

Tamko La Kumi | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu

    Enzi ya Ufalme ni, baada ya yote, tofauti na nyakati za kale. Haihusu kile anachofanya mwanadamu. Badala yake, Mimi binafsi hutekeleza kazi Yangu baada ya kushuka duniani—kazi ambayo wanadamu hawawezi kuelewa wala kukamilisha. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo, hii miaka yote daima imehusu kujenga kanisa, lakini hakuna mtu kamwe husikia kuhusu kujenga ufalme.