Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwamini-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwamini-Mungu. Onyesha machapisho yote

6/19/2019

“Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Nne

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Nne


Mwenyezi Mungu alisema, Je, mielekeo kumwelekea Mungu ya watu hawa wa aina mbalimbali waliotajwa hapo juu ipo miongoni mwenu? (Ipo.) Kama, katika imani yao katika Mungu, moyo wa mtu una mwelekeo wowote kati ya hii, je, kweli wanaweza kuja mbele za Mungu? Kama watu wana mwelekeo wowote kati ya hii katika mioyo yao, je, wanamwamini Mungu? Je, wanamwamini Mungu Mwenyewe yule wa kipekee? (La.) Kwa kuwa humwamini Mungu wa kipekee Mwenyewe, unamwamini nani? Kama unachoamini si Mungu Mwenyewe wa kipekee, kuna uwezekano unaamini katika sanamu, mtu maarufu, au Bodhisattva, kuwa unamwabudu Budha moyoni mwako.

5/25/2019

Wimbo wa Kuabudu | 248. Mabadiliko Katika Tabia Hayatengani na Maisha Halisi

Wimbo wa Kuabudu | 248. Mabadiliko Katika Tabia Hayatengani na Maisha Halisi

Katika kumwamini Mungu,
ikiwa mtu anatamani kuwa na mabadiliko,
basi haipaswi kujitenga mwenyewe
kutoka kwa maisha halisi ambayo yeye yumo ndani.

4/28/2019

96. Ni kwa Kumcha Mungu tu Ndiyo Uovu Unaweza Kuepwa

96. Ni kwa Kumcha Mungu tu Ndiyo Uovu Unaweza Kuepwa

Tabia ya Mungu ni adhimu na ya ghadhabu.
Yeye si mwanakondoo achinjwe na yeyote.
Yeye si karagosi, linalochezewa na yeyote anavyopenda.
Wala Yeye si hewa, inayoamriwa na watu pote.
Kama kweli unaamini kuweko kwa Mungu,
unapaswa kuwa na moyo unaomwogopa Mungu.

4/06/2019

Nyimbo za kusifu | 234. Unapaswa Kuyachukuliaje Maneno na Vitendo Vyako Mwenyewe

Nyimbo za-kusifu,kumwamini Mungu,baraka,

Nyimbo za kusifu | 234. Unapaswa Kuyachukuliaje Maneno na Vitendo Vyako Mwenyewe

I

Unaamini maneno ya Mungu na rada?

Kwamba Atawaadhibu wanaodanganya, kumsaliti?

Unapenda zaidi siku hiyo ije mapema au baadaye?

Unaogopa adhabu,

au utampinga Mungu, hata ukijua kuna adhabu?

Na siku hiyo itakapofika,

utakuwa kati ya kilio au shangwe?

5/22/2018

Kupata Ahueni kwa Njia ya Kumwamini Mungu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli

   Kupata Ahueni kwa Njia ya Kumwamini Mungu

Zhuanbian     Mji wa Shanghai
Ingawa nilikuwa nikimfuata Mungu kwa miaka mingi, nilikuwa karibu sijafanya maendeleo yoyote na kuingia kwangu katika maisha, na hii ilinifanya nihisi kuwa na wasiwasi sana. Hasa wakati niliposikia rekodi ya mahubiri juu ya kuingia kwa maisha, na kusikia mtu aliyetumiwa na Roho Mtakatifu akizungumza na ndugu wa kiume na wa kike waliokuwepo na kusikiliza mahubiri, nilihisi nikiwa nimejawa na wasiwasi nikimsikia akisema jambo kama hili, "Nyinyi sasa mnamwamini Mungu na mmeonja uzuri wa ukimbizaji wa ukweli.

5/14/2018

Umeme wa Mashariki | "Kuona Ni Kuamini" Haipaswi Kuaminiwa

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu

Umeme wa Mashariki | "Kuona Ni Kuamini" Haipaswi Kuaminiwa

Xiaowen   Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan
Awali, nilipokuwa nikisikia watu wakitoa maoni juu ya kitu fulani, mara nyingi wangesema "kuona ni kuamini." Muda ulivyoendelea kupita, pia nilichukua huu kama msingi wa kuangalia mambo, na ilikuwa vivyo hivyo kuhusu maneno ya Mungu. Matokeo yake ni kwamba niliishia kutoweza kuamini maneno mengi ya Mungu ambayo hayakuwa yametimizwa. Kama wakati wangu uliotumiwa kumwamini Mungu ulipoongezeka, niliona maneno ya Mungu kwa viwango tofauti vya kutimizwa , nikaona ukweli wa mafanikio ya maneno ya Mungu na sikuwa tena na shaka juu ya chochote ambacho Mungu alisema.

3/16/2018

Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu?

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,maombi

Je, Wewe Ni Muumini wa Kweli wa Mungu?

Huenda ikawa safari yako ya imani katika Mungu imekuwa ndefu zaidi ya mwaka mmoja au miwili, na labda kwa maisha yako umestahimili ugumu mwingi miaka hii yote; au labda haujapitia ugumu na badala yake umepokea neema nyingi. Kuna uwezekano pia kuwa hujapitia ugumu wala kupokea neema, na badala yake umeishi maisha ya kawaida tu. Hiyo haijalishi, kwani wewe bado u mfuasi wa Mungu, kwa hivyo tushirikiane kuhusu mada ya kumfuata Mungu.

12/11/2017

Sura ya 13. Maana ya Utendaji wa Watu Kuamua Matokeo Yao

1. Hakuna Ambaye Angeokolewa iwapo Mungu Angeangalia Tu Maonyesho ya Asili ya Watu

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa sasa, utendaji wa watu unaamua matokeo yao, lakini huu utendaji ni upi? Je, unaujua? Nyinyi mnaweza kufikiri kwamba hili linarejelea tabia ya watu iliyopotoka ikijionyesha kazini mwao, lakini halimaanishi lile. Utendaji huu unanena kuhusu ikiwa unaweza kuweka ukweli kwenye vitendo au la na ikiwa unaweza kusalia mwaminifu na kujizatiti unapotenda wajibu wako au la, na vilevile mtazamo wako wa kumwamini Mungu, msimamo wako kwa Mungu, uamuzi wako wa kuteseka kwa ajili ya ugumu, mtazamo wako kwa kukubali hukumu na kupogolewa, kiwango chako cha mabadiliko na idadi ya dhambi kubwa.