96. Ni kwa Kumcha Mungu tu Ndiyo Uovu Unaweza Kuepwa
Tabia ya Mungu ni adhimu na ya ghadhabu.
Yeye si mwanakondoo achinjwe na yeyote.
Yeye si karagosi, linalochezewa na yeyote anavyopenda.
Wala Yeye si hewa, inayoamriwa na watu pote.
Kama kweli unaamini kuweko kwa Mungu,
unapaswa kuwa na moyo unaomwogopa Mungu.
