243. Matamanio ya Pekee ya Mungu
I
Utukufu wa Yehova, ukombozi wa Yesu,
na matendo yote ya Mungu leo, ndiyo unayoyaona leo.
Maneno ya Roho wa Mungu umeyasikia,
Hekima Yake na ajabu Yake,
Tabia Yake umeijua,
Mpango Wake wa usimamizi umeambiwa.
