Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-Sifa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-Sifa. Onyesha machapisho yote

4/10/2019

Nyimbo za kusifu | 221. Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake

Tenzi,Nyimbo za Sifa,maisha

Nyimbo za kusifu | 221. Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake

I

Mungu ni uzima, chanzo cha viumbe wote wanaoishi.

Mamlaka ya Mungu hufanya kila kitu kitii maneno Yake,

kije kuwepo kulingana na maneno Yake,

kiishi na kuzaa kwa amri ya Mungu.

Mungu huwaongoza viumbe wote waishio,

na hakutakuwa na kupotoka milele na milele.

Mamlaka ya Mungu yanaweza kuunda mambo ya aina yoyote

ambao yana uhai na nguvu.

Na hii inadhamiriwa na uzima wa Mungu.