Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kristo-ndiye-ukweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kristo-ndiye-ukweli. Onyesha machapisho yote

2/17/2019

Filamu za Injili | "Siri ya Utauwa" (5) - Namna ya Kujua Kwamba Kristo ni Ukweli, Njia na Uzima

Filamu za Injili | "Siri ya Utauwa" (5) - Namna ya Kujua Kwamba Kristo ni Ukweli, Njia na Uzima


Kupata mwili kwa Mungu wote wawili wanashuhudia kwamba "Kristo ni ukweli, njia na uzima." Kwa inasemwa kwamba Kristo ni ukweli, njia na uzima? Na wale mitume na watu wakuu wa kiroho waliomfuata Bwana Yesu pia walisema mambo mengi, mambo ambayo ni ya manufaa makubwa kwa mwanadamu, kwa hiyo mbona wao si ukweli, njia na uzima? Tunapaswa kuelewa vipi tofauti kati ya vipengele hivi viwili?

1/20/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli


Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, na kwa kiwango cha chini zaidi hawaijui kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika.

1/02/2019

Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu



 Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu


Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu,
lazima tutafute mapenzi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake.
Kwani palipo na maneno mapya ya Mungu,
pana sauti ya Mungu, sauti Yake;
palipo na nyayo za Mungu,
pana matendo ya Mungu, matendo ya Mungu.

12/31/2018

Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele


I
Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima,
na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake
yanaamuliwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua.