Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Imani-katika-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Imani-katika-Mungu. Onyesha machapisho yote

2/07/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa


Kazi na neno la Mungu vina maana ya kuleta mabadiliko katika tabia zenu; lengo Lake si kuwafanya tu kulielewa au kulitambua na kufanya hilo kuwa mwisho wa jambo hilo. Kama mmoja wa uwezo wa kupokea, hampaswi kuwa na ugumu katika kuelewa neno la Mungu, kwa kuwa wingi wa neno la Mungu limeandikwa kwa lugha ya kibinadamu ambayo ni rahisi sana tu kuelewa. Kwa mfano, mnaweza kujua ni nini Mungu anataka muelewe na kutenda; hili ni jambo ambalo mtu wa kufaa ambaye ana uwezo wa uelewa anapaswa kuwa na uwezo wa kufanya.

1/20/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli


Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, na kwa kiwango cha chini zaidi hawaijui kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika.

4/27/2018

Latest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu


Latest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu

Yu Congguang huhubiri injili kwa niaba ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wakati wa kuhubiri injili, aliandamwa na serikali ya Kikomunisti ya China. Alikimbia milimani, ambapo alipokea msaada kutoka kwa Zheng Xun, mfanyakazi mwenza wa kanisa la nyumba la mahali pale. Walipokutana mara ya kwanza, walihisi kama tayari walikuwa wamejuana kwa muda mrefu. Zheng Xun alimpeleka Yu Congguang kwenye kibanda cha makuti ambapo yeye na wafanyakazi wenzake walikusanyika. Huko, mjadala ulijitokeza miongoni mwa Zheng Xun na wafanyakazi wenzake kuhusu kama muumini katika Mungu anapaswa kutii wale walio madarakani au la. Yu Congguang alitoa ushirika kwa kuzingatia suala hili na kuondoa kuchanganyikiwa kwao.

2/24/2018

Umeme wa Mashariki | Njia… (2)

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu

Umeme-wa-Mashariki-Njia… (2)


Mwenyezi Mungu alisema, Labda ndugu na dada zetu wana muhtasari kidogo wa utaratibu, hatua, na mbinu za kazi ya Mungu katika China bara, lakini Mimi huhisi kila mara kwamba ni heri kuwa na kumbukumbu au muhtasari kidogo wa ndugu na dada zetu. Ninatumia tu nafasi hii kusema machache ya kile kilicho moyoni Mwangu; Sizungumzi juu ya chochote nje ya kazi hii. Natarajia kwamba ndugu na dada wanaweza kuelewa hali ya moyo Wangu, na pia Naomba kwa unyenyekevu kwamba wote wanaosoma maneno Yangu wafahamu na kusamehe kimo Changu kidogo, kwamba uzoefu Wangu wa maisha kweli si wa kutosha, na kwamba kweli Siwezi kuwa na ujasiri mbele ya Mungu. Kwa hali yoyote, Mimi huhisi kila mara kwamba hizi ni sababu halisi tu.