Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kushinda. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kushinda. Onyesha machapisho yote

5/05/2019

60. Wimbo wa Onyo Jema

Kristo ni mshindi. Kristo ni mshindi.

I
Kwa kumfuata Mungu na kupata ukweli, unaitembea njia ya uzima.
Kwa kutafuta teolojia na kujadili nadharia, unawadhuru wengine na wewe mwenyewe.
Kuhubiri mafundisho na kushikilia sheria kunaonyesha kwamba huna uhalisi.
Kwa kutoa wito kwa sauti na kutotenda, unamdanganya Mungu waziwazi.

4/01/2019

230. Dunia Yote Itashangalia na Kumsifu Mungu

Nyimbo za kusifu,Kumsifu Mungu,Kushinda

230. Dunia Yote Itashangalia na Kumsifu Mungu

I

Ho~ ho~ ho~ ho~

Yule Mungu mmoja wa kweli ambaye huvitawala vitu vyote katika ulimwengu

—Kristo mwenye uweza!

Huyu ni shahidi wa Roho Mtakatifu.

Anafanya kazi ili kushuhudia kila mahali.

Hivyo hakuna atakayekuwa na shaka yoyote. Mfalme mshindi,

Mwenyezi Mungu, ameushinda ulimwengu.

3/26/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 113

neno la Mungu,Tafuta Ufalme wa Mungu Kwanza,Kushinda

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 113

Kila kitendo Ninachokifanya kina hekima Yangu ndani yake, lakini mwanadamu hawezi kukielewa kamwe; mwanadamu anaweza tu kuona matendo Yangu na maneno Yangu, lakini hawezi kuuona utukufu Wangu, au kuonekana kwa nafsi Yangu, kwa sababu mwanadamu hasa anakosa uwezo huu. Chini ya hali ya kutombadilisha mwanadamu, wazaliwa Wangu wa kwanza nami tutarejea Sayuni na kubadili sura, ili mwanadamu aweze kuiona hekima Yangu na kudura Yangu.

12/16/2018

Swahili Gospel Choir Song "Ufalme" | New Jerusalem Has Come Down Out of Heaven


Swahili Gospel Choir Song "Ufalme" | New Jerusalem Has Come Down Out of Heaven

Ufalme, mji wa watakatifu, ufalme wa Kristo.
Katika ufalme, utajiri na utukufu wa Mungu hudhihirishwa.
Umeme unatoka Mashariki na kuangaza hadi Magharibi.
Mwanga wa kweli uko hapa, neno la Mungu limeonekana katika mwili.
Mwokozi amesharudi, akishuka juu ya wingu jeupe.
Watakatifu leo ​​wamenyakuliwa mbele ya kiti cha enzi ili kumwabudu Mungu.

11/29/2017

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3)

Mwenyezi Mungu alisema, Matokeo ya kutimizwa kutoka kwa kazi ya kushinda kimsingi ni kwa ajili ya mwili wa mwanadamu kuacha kuasi, yaani, ili fikira za mwanadamu zipate ufahamu mpya wa Mungu, moyo wake umtii Mungu kabisa, na aamue kuwa wa Mungu. Jinsi ambavyo mwenendo wa mtu ama mwili wake unavyobadilika haiamui ikiwa ameshindwa. Badala yake, ni wakati ambapo fikira zako, utambuzi wako, na ufahamu wako unabadilika—yaani, ni wakati mielekeo yako yote ya kifikira inabadilika—ndipo huwa umeshindwa na Mungu.

11/28/2017

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)



Mwenyezi Mungu alisema, Wanadamu kwakupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa, mwanadamu alipoteza utukufu na ushuhuda kwa sababu kila mtu alimwasi Mungu na kuacha kumtukuza kabisa.