Nyimbo za kusifu | 236. Kazi Ya Mungu Ikipingana na Fikira za Wanadamu Huwakamilisha Vyema Zaidi
I
Kama unamwamini Mungu, lazima umtii,
utende ukweli na kutimiza wajibu wako wote, aa, aa.
Lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia.
Kama unapitia tu hukumu na nidhamu, aa, aa,
lakini huwezi kujua Mungu anapokushughulikia
au kukufundisha nidhamu, basi hili halitoshi kamwe.
Haitoshi kustahimili usafishwaji katika jambo moja,
huna budi kuendelea kusonga, kuendelea kusonga.
