5/22/2019

Wimbo wa Kuabudu | 114. Anachotaka Mungu Katika Majaribio Ni Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Wimbo wa Kuabudu | 114. Anachotaka Mungu Katika Majaribio Ni Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

I
Unapokuwa mchanga, ujasiri wako ni wa chini sana;
ni vigumu kujua cha kufanya wakati una ufahamu finyu wa ukweli.
Kama umakabiliwa na majaribio yako, unaweza kuomba kwa dhati,
umwache Mungu autawale moyo wako, uvitoe vyote unavyovipenda.
Kadiri unavyozidi kusikiliza mahubiri
ndivyo unavyozidi kuuelewa ukweli,
ndivyo unavyozidi kukua, ndivyo Anavyozidi kutarajia;
Viwango Vyake vitakua nawe kwa heshima.
Mungu anapokupa jaribio, Ataona mahali unaposimamia,
kama moyo wako uko naye, na mwili wako, au na Shetani.
Mungu anapokupa jaribio, Ataona mahali unaposimamia.
Utakuwa upande Wake, kwa upatanifu na mawazo Yake?
II
Kadiri unavyozidi kusikia, ndivyo utakavyozidi kujua.
Unapojishughulisha na ukweli wa Mungu, kimo chako hukomaa.
Kadiri unavyozidi kujua, ndivyo Anavyozidi kutarajia.
Ndiyo, viwango Vyake vitakua pamoja nawe kwa heshima, kwa heshima.
Mungu anapokupa jaribio, Ataona mahali unaposimamia,
kama moyo wako uko naye, na mwili wako, au na Shetani.
Mungu anapokupa jaribio, Ataona mahali unaposimamia.
Utakuwa upande Wake, kwa upatanifu na mawazo Yake, kwa upatanifu na mawazo Yake?
III
Moyo wa mwanadamu unapotolewa hatua kwa hatua kwa Mungu,
yeye hukaribia zaidi na zaidi Kwake.
Mtu kwa kweli anapoweza kumkaribia Mungu, daima kwa kukithiri,
moyo huanza kumcha.
Moyo unaomcha Mungu ni moyo unaopendelewa.
Huu ni moyo ambao unatakiwa na Mungu.
Mungu anapokupa jaribio, Ataona mahali unaposimamia,
kama moyo wako uko naye, na mwili wako, au na Shetani.
Mungu anapokupa jaribio, Ataona mahali unaposimamia.
Utakuwa upande Wake, kwa upatanifu na mawazo Yake?
Utakuwa upande Wake, kwa upatanifu na mawazo Yake?
Utakuwa upande Wake, kwa upatanifu na mawazo Yake?
Moyo unaomcha Mungu, huu ndio moyo unaotakiwa na Mungu.
kutoka kwa "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" katika Neno Laonekana katika Mwili
Sikiliza zaidi: Msifuni Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni