Wimbo wa Kuabudu | 130. Mapenzi Ya Mungu Yamekuwa Wazi kwa Kila Mtu
Kutoka kwa uumbaji wa mwanadamu,
asili ya Mungu, mapenzi Yake, mali Yake na tabia
vimekuwa wazi kwa kila mmoja na wazi kwa wote.
I
Mungu hajawahi kamwe kuficha kiini Chake,
Ni kwamba tu binadamu hawatilii maanani kazi ya Mungu, mapenzi Yake,
hivyo ufahamu wa mwanadamu wa Mungu ni mnyonge sana wa kuhurumiwa.
Kutoka kwa uumbaji wa mwanadamu,
asili ya Mungu, mapenzi Yake, mali Yake na tabia
vimekuwa wazi kwa kila mmoja na wazi kwa wote.
II
Maana ya hili ni kuwa wakati Mungu anaficha mwili Wake,
Anasimama kando ya mwanadamu muda wote,
na katika kila wakati Anafichua mapenzi Yake, tabia Yake, na kiini.
Na kwa mantiki, nafsi ya Mungu iko wazi kwa watu wote.
Lakini kwa sababu mwanadamu ni kipofu na hatii,
mwanadamu haoni kuonekana kwa Mungu,
haoni kuonekana kwa Mungu.
Kutoka kwa uumbaji wa mwanadamu,
asili ya Mungu, mapenzi Yake, mali Yake na tabia
vimekuwa wazi kwa kila mmoja na wazi kwa wote.
III
Kutoka kwa uumbaji wa mwanadamu,
asili ya Mungu, mapenzi Yake, mali Yake na tabia
vimekuwa wazi kwa kila mmoja na wazi kwa wote.
kutoka katika "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" katika Neno Laonekana katika Mwili
Jifunze zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni