5/12/2019

Wimbo wa Kuabudu | Upendo Safi Bila Dosari


Wimbo wa Kuabudu | Upendo Safi Bila Dosari

I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo,
kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo,
kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo.
Ukipenda utajitolea, ukubali taabu,
kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.
II
Upendo hauna shauku, ujanja wala uongo.
Tumia moyo, Tumia moyo,
kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo haujitengi, upendo hauna dosari.
Tumia moyo, Tumia moyo,
kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu cha malipo.
Ukipenda utajitolea, ukubali taabu,
kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.
III
Utatoa familia, ujana wako na siku za usoni.
Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake.
Utatoa familia, ujana na siku za usoni.
Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake.
Ama upendo wako si upendo kabisa,
bali uongo, usaliti kwa Mungu.
IV
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, Tumia moyo,
kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo,
kupenda, kuhisi, kutunza.

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili


    Jifunze zaidi : Msifuni Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni