6/06/2019

259 Usafishaji wa Mungu wa Mwanadamu Ni Wa Maana Zaidi

259 Usafishaji wa Mungu wa Mwanadamu Ni Wa Maana Zaidi

I
Akikabiliwa na mtazamo wa mwanadamu kwa Mungu,
Mungu amefanya kazi mpya, ili mwanadamu aweze kuwa na
maarifa na utiifu Kwake, upendo na ushuhuda Kwake.
II
Hivyo mwanadamu lazima apitie usafishaji wa Mungu kwake,
na pia hukumu Yake, kushugulikiwa na upogoaji wake,
ambayo bila mwanadamu kamwe hawezi kumjua Mungu
na kamwe kutoweza kumpenda kweli na kutoa ushuhuda Kwake.
III
Usafishaji wa mwanadamu wa Mungu sio tu kwa ajili ya
upande mmoja lakini ya matokeo mbalimbali.
Kwa njia hii tu ndiyo Mungu anafanya kazi ya usafishaji
kwa wale walio tayari kutafuta ukweli.
Hivyo uamuzi wao na upendo kwa Mungu utafanywa kamili na Mungu.
Utafanywa kamili na Mungu. Eh … utafanywa kamili na Mungu.
IV
Usafishaji wa aina hii ni wa maana
kwa wale ambao wanatafuta ukweli na wanaomtamani Mungu sana.
Usafishaji wa aina hii ni wa usaidizi mkubwa.
kwa wale ambao wanatafuta ukweli na wanaomtamani Mungu sana.
V
Wakati wa usafishaji, Mungu anaweka hadharini
tabia Yake ya haki na mahitaji Yake.
Na Anatoa nuru zaidi na kufanya upogoaji na ushughulikiaji halisi.
Kupitia ulinganisho kati ya uhakika na ukweli,
Anampa mwanadamu maarifa makubwa juu yake mwenyewe, ya ukweli,
na ufahamu mkubwa zaidi wa mapenzi ya Mungu,
hivyo kumruhusu mwanadamu kuwa na upendo wa kweli na safi kwa Mungu.
Usafishaji wa mwanadamu wa Mungu sio tu kwa ajili ya
upande mmoja lakini ya matokeo mbalimbali.
Kwa njia hii tu ndiyo Mungu anafanya kazi ya usafishaji
kwa wale walio tayari kutafuta ukweli.
Hivyo uamuzi wao na upendo kwa Mungu utafanywa kamili na Mungu.
Utafanywa kamili na Mungu. Eh … utafanywa kamili na Mungu.
Eh … utafanywa kamili na Mungu.
kutoka katika "Ni kwa Kupitia Usafishaji tu Ndiyo Mwanadamu Anaweza Kumpenda Mungu kwa Kweli" katika Neno Laonekana katika Mwili
Jifunze zaidi : Msifuni Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni