Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mateso-ya-Kidini. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mateso-ya-Kidini. Onyesha machapisho yote

2/01/2019

2. Utangulizi Mfupi Kuhusu Usuli wa Kuonekana kwa Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho Nchini China

2. Utangulizi Mfupi Kuhusu Usuli wa Kuonekana kwa Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho Nchini China

China ni nchi ambamo joka kubwa jekundu hukaa, na ni mahali ambapo pamempinga na kumshutumu Mungu zaidi sana katika historia. China ni kama ngome ya mapepo na gereza linalodhibitiwa na shetani, lisilopenyeka na lisiloingilika. Zaidi ya hayo, utawala wa joka kubwa jekundu husimama ukilinda katika ngazi zote na umeanzisha ulinzi katika kila kaya. Matokeo yake, hakuna mahali pagumu zaidi ya hapa kueneza injili ya Mungu na kufanya kazi ya Mungu. Wakati Chama cha Kikomunisti Cha China kiliposhika madaraka mwaka wa 1949, imani za kidini katika China bara zilizimwa kabisa na kupigwa marufuku.

1/30/2019

Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians

Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians

Mchezo wa kuchekesha Macho Kila Mahali unaeleza jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyojaribu kuondoa dini kwa kutumia uchunguzi mkubwa kote nchini, pamoja na kuwageuza watu katika kila tabaka na kazi ya maisha kuwa macho ili kuchunguza, kusimamia, na kupeleleza Wakristo.  

1/19/2019

Umeme wa Mashariki | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe

 Umeme wa Mashariki | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe

Dong Mei, Mkoa wa Henan

Mimi ni mtu wa kawaida. Niliishi maisha ya kawaida. Kama wengi wanaotamani sana mwanga, nilijaribu njia nyingi kutafuta maana ya kweli ya uwepo wa wanadamu, nikijaribu kuyapa maisha yangu umuhimu zaidi. Mwishowe, juhudi zangu zote zilikuwa bure. Lakini baada ya kuwa na bahati ya kutosha kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, mabadiliko ya muujiza yalitokea katika maisha yangu.

1/18/2019

Umeme wa Mashariki | 1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Umeme wa Mashariki | 1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Yang Yi, Mkoa wa Jiangsu

Mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Nimekuwa mfuasi wa Mwenyezi Mungu kwa zaidi ya miaka kumi. Katika wakati huu, kitu kimoja ambacho sitawahi kusahau ni taabu mbaya sana nilipokamatwa na polisi wa CCP muongo mmoja uliopita. Wakati huo, licha ya mimi kuteswa na kukandamizwa na ibilisi waovu, na kuwa ukingoni mwa kifo mara kadhaa, Mwenyezi Mungu alitumia mkono Wake wa nguvu kuniongoza na kunilinda, kunirudisha kwa uhai, na kunipeleka kwa usalama.... Kupitia hili, kwa kweli nilipitia uvukaji mipaka na ukuu wa nguvu ya uhai wa Mungu, na kupata utajiri wa thamani wa maisha niliyotunikiwa na Mungu.

1/13/2019

Swahili Christian Video "Mazungumzo"(3): Upingaji wa Wakristo wa Kushangaza kwa Uvumi na Kashfa za CCP

Swahili Christian Video "Mazungumzo"(3): Upingaji wa Wakristo wa Kushangaza kwa Uvumi na Kashfa za CCP

    Ili kuwadanganya Wakristo kumsaliti Mungu na kuiacha imani yao, CCP kimemsaliti Kristo wa siku za mwisho na Bwana Yesu hadharani, kikisema kuwa wote wawili ni watu wa kawaida na sio Mungu mwenye mwili. CCP kimewakashifu Wakristo kama wanaomwamini mtu tu na sio Mungu. Pia kimeeneza uvumi kwamba Kanisa la Mwenyezi Mungu liliundwa na mtu kwa kuwa tu mtu ambaye hutumiwa na Mungu ndiye anayeyaendesha mambo yote ya utawala ya kanisa. Kupata mwili kwa kweli ni nini? Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzwaje, na ni nani aliyelianzisha? Wakristo wanautumiaje ukweli na mambo ya hakika kukanusha uvumi na kashfa za umma ambazo CCP kinaeneza kuhusu Kristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu?

12/29/2018

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days

Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na kikundi. Kufuatia kuenea kwa injili ya ufalme, maneno ya Mwenyezi Mungu yanakubaliwa na kuenezwa na watu zaidi na zaidi, waumini wa kweli katika Mungu ambao wana kiu ya Yeye kuonekana wamekuwa wakirudi mmoja kwa mmoja mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.

12/19/2018

Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?

Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?

 Mchezo mfupi Mipaka ya Meya wa Kijiji inaeleza hadithi ya kweli ya mume na mke Wakristo ambao wanalazimishwa kutoroka kwa sababu ya mateso ya serilaki ya CCP.

12/12/2018

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)

    Ili kuondoa imani za dini, serikali ya CCP ambayo inakana Mungu mara kwa mara inatumia mikakati ya kuchunguza Wakristo kama vile kuendesha uchunguzi wa siri na kufuatilia ili kuwafutilia mbali wote.

12/10/2018

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"

  Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

9/21/2018

Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God

Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God

"Kijana! Je, unajua kwamba Chama cha Kikomunisti ni kikana Mungu na kiko kinyume na imani katika Mungu? Katika China, kuna Mungu yupi kwako kuamini? Mungu huyu wako yuko wapi?" "Usifikiri kwamba kwa sababu wewe ni mdogo, tutakuwa wenye huruma kwako! Ukiendelea kumwamini Mungu, utaishia kufa!" Wakiwa na fimbo za umeme mikononi, polisi wa Kikomunisti wa China wanamvamia kijana huyu ambaye amejawa na mavilio ya damu.