Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wakristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wakristo. Onyesha machapisho yote

1/19/2019

Umeme wa Mashariki | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe

 Umeme wa Mashariki | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe


Dong Mei, Mkoa wa Henan


Mimi ni mtu wa kawaida. Niliishi maisha ya kawaida. Kama wengi wanaotamani sana mwanga, nilijaribu njia nyingi kutafuta maana ya kweli ya uwepo wa wanadamu, nikijaribu kuyapa maisha yangu umuhimu zaidi. Mwishowe, juhudi zangu zote zilikuwa bure. Lakini baada ya kuwa na bahati ya kutosha kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, mabadiliko ya muujiza yalitokea katika maisha yangu.

1/18/2019

Umeme wa Mashariki | 1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Umeme wa Mashariki | 1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi


Yang Yi, Mkoa wa Jiangsu

Mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Nimekuwa mfuasi wa Mwenyezi Mungu kwa zaidi ya miaka kumi. Katika wakati huu, kitu kimoja ambacho sitawahi kusahau ni taabu mbaya sana nilipokamatwa na polisi wa CCP muongo mmoja uliopita. Wakati huo, licha ya mimi kuteswa na kukandamizwa na ibilisi waovu, na kuwa ukingoni mwa kifo mara kadhaa, Mwenyezi Mungu alitumia mkono Wake wa nguvu kuniongoza na kunilinda, kunirudisha kwa uhai, na kunipeleka kwa usalama.... Kupitia hili, kwa kweli nilipitia uvukaji mipaka na ukuu wa nguvu ya uhai wa Mungu, na kupata utajiri wa thamani wa maisha niliyotunikiwa na Mungu.

12/24/2018

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


    Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa wa ufuatiliaji wa kuzingatiwa. Hasa, baada ya mzee huyo kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, polisi walikuja karibu kila siku kumtisha, kumuogofya na kumsumbua. Hakukuwa na njia ya Zheng Xinming kusoma neno la Mungu nyumbani kwa kawaida, na hata familia yake ilishiriki hali yake ya wasiwasi. Sasa ni Mkesha wa Mwaka Mpya na mzee yuko nyumbani akisoma neno la Mungu, bila kujua nini kinaweza kutokea …

Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki

12/10/2018

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"


Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"


  Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

8/05/2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?"


Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?" 

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

6/25/2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"


Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii ya hali halisi inaelezea uzoefu wa kweli wa Mkristo Mchina, Yang Huizhia, ambaye alikamatwa na serikali CCP, akateswa, na kufa kutokana na kuteswa kwake kwa sababu ya imani yake kwa Mungu. Baada ya Yang Huizhi kufa, serikali ya CCP kwa uongo ilidai kuwa kifo chake kilikuwa kimetokana na mshtuko wa moyo. Familia yake ilitaka kutafuta haki kwa ajili yake, lakini hatimaye walishtuka hadi kutulia kwa sababu ya vitisho vya CCP.

11/12/2017

Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kuficha Uhalifu"


Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii ya hali halisi inayoonyesha kifo cha ghafla na kisichotarajiwa cha Mkristo Mchina aliyeitwa Song Xiaolan–kifo ambacho kwacho polisi wa CCP walitoa maelezo yasiyopatana na yaliyogongana. Baada ya kuchunguza, familia ya Song iligundua kwamba polisi walikuwa wakidanganya wakati wote huo. Jamaa wa familia ya Song alipata habari kutoka kwa jamaa aliyemfahamu katika Ofisi ya Usalama wa Umma ya kwamba Song Xiaolan alikuwa akifuatiwa kwa siri na polisi wa CCP kutokana na imani yake kwa Mungu na utendaji wa majukumu yake. Polisi walipomkamata, walimpiga hadi kufa. Ili kuepuka lawama, polisi walifunika ukweli kwa kubuni eneo la kifo la Song Xiaolan....

10/25/2017

Umeme wa Mashariki | Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo

Umeme wa Mashariki | Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali?  



 Je, unaweza kuonyesha tabia ya Mungu ya nyakati kwa lugha inayofaa iliyo na umuhimu wa nyakati? Kupitia uzoefu wako wa kazi ya Mungu, unaweza kueleza kwa undani tabia ya Mungu? Utaielezaje vizuri, kikamilifu? Ili kupitia haya, watu wengine wapate kufahamu uzoefu wako. Utawezaje kupitisha uliyoyaona na kupitia kwa maskini hawa wa kuhurumiwa, na waumini wa kidini wa kumcha Mungu waliojitolea na waliojawa na njaa na kiu cha haki na wanaongoja uwe mchungaji wao?  

10/15/2017

Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Wakristo

Umeme wa Mashariki


Mwanadamu anaelewa sehemu ndogo ya kazi ya leo na kazi ya baadaye, lakini hafahamu hatima ambapo mwanadamu ataingia. Kama kiumbe, mwanadamu anapaswa kutekeleza wajibu wa kiumbe: Mwanadamu anapaswa kumfuata Mungu kwa lolote afanyalo, na mnapaswa muendelee mbele kwa njia yoyote ambayo Nitawaambia. Wewe huna mbinu ya kufanya mipango yako mwenyewe, na huna uwezo wa kujitawala mwenyewe; yote ni lazima yaachwe kwa rehema za Mungu, na kila kitu kinadhibitiwa na mikono Yake.