Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo roho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo roho. Onyesha machapisho yote

12/22/2017

Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi

Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu, iwe ni kwa mwili au kwa Roho, yote inafanywa kulingana na mpango wa usimamizi. Kazi Yake haifanywi kulingana na kama ni ya umma au ya kibinafsi, au kulingana na mahitaji ya mwanadamu—inafanywa kikamilifu kulingana na mpango wa usimamizi. Hatua hii ya kazi haiwezi kufanywa kwa njia yoyote ya zamani: Inapaswa kukamilika juu ya msingi wa hatua mbili zilizopita za kazi.

11/21/2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Saba

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Mwenyezi Mungu alisema, Sauti Yangu inatoka kama radi, ikitia nuru roboduara zote nne na dunia nzima, na katikati ya radi na umeme, ubinadamu unaangushwa chini. Hakuna mwanadamu aliyewahi kusimama imara katikati ya radi na umeme: Wanadamu wengi wanaogopa sana kuja kwa mwangaza Wangu na hawajui cha kufanya.