Mwenyezi Mungu alisema, Baadhi ya watu huuliza, “Mungu huangalia kwa makini moyo wa binadamu, na mwili na Roho wa Mungu ni moja. Mungu hujua kila kitu ambacho watu husema, kwa hivyo Mungu anajua kwamba sasa ninamwamini?” Kujibu hili swali huhusisha jinsi ya kuelewa Mungu mwenye mwili na uhusiano kati ya Roho Wake na mwili. Baadhi husema, “Mungu ni halisi kwa njia thabiti.” Wengine husema, “Yeye ni halisi kwa njia thabiti. Lakini mwili Wake na Roho Yake ni moja, kwa hivyo Yeye anapaswa kujua hilo!” Kumfahamu Mungu ni hasa kuelewa kiini Chake na sifa za Roho Wake, na mwanadamu hapaswi kujaribu kuamua kama mwili wa Mungu hujua kitu chochote fulani au kama Roho Wake hujua kitu chochote; Mungu ni mwenye hekima na wa ajabu, Asiyeeleweka kwa mwanadamu.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho.
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mwili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mwili. Onyesha machapisho yote
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)