Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwaminifu-kwa-Nani. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwaminifu-kwa-Nani. Onyesha machapisho yote

12/05/2017

Umeme wa Mashariki | Wewe U Mwaminifu kwa Nani?

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, maombi
Mwenyezi Mungu alisema, Kila siku mnayoiishi sasa ni ya maana sana na muhimu sana kwa hatima yenu na majaliwa yenu, kwa hivyo mnapaswa kufurahia kila mlicho nacho na kila dakika inayopita. Mnapaswa kutumia muda wenu vizuri ili muweze kujinufaisha, ili msije kuishi maisha haya bure. Pengine mnajihisi kukanganyikiwa mnaojiuliza ni kwa nini Ninazungumza maneno haya.