Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo upendo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo upendo. Onyesha machapisho yote

3/14/2018

Umeme wa Mashariki | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Nimewatafuta wengi duniani wawe wafuasi Wangu. Kati yao ni wale wanaohudumu kama makuhani, wanaoongoza, wanaojumuisha wana, wanaojumuisha watu, na wale wanaotoa huduma. Ninawagawa katika makundi haya tofauti kwa msingi wa uaminifu wanaonionyesha. Wakati wanadamu wote wameainishwa kulingana na aina, yaani, asili ya kila aina ya mwanadamu inapowekwa wazi, basi Nitamhesabu kila mwanadamu miongoni mwa aina yake kamili na kuweka kila aina katika nafasi yake kamili ili Nikamilishe lengo Langu la ukombozi wa mwanadamu.

3/03/2018

Umeme wa Mashariki | Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri


Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo




I
Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani.
Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri.
Ee mpendwa wangu, Uko wapi?
Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia?
Wewe Ndiwe hunipa upendo.
Wewe Ndiwe Unayenitunza.
Wewe Ndiwe unayeniwaza daima,
Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu.
Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga.
Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana.
Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana.
Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu,
pamoja nawe upendo wangu.

12/15/2017

Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya

Upendo wa Kweli wa Mungu

Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Yake.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.

11/22/2017

Umeme wa Mashariki | Tamko La Ishirini na Tisa



Siku hiyo ambayo vitu vyote vilifufuliwa, Nilikuja miongoni mwa wanadamu, na Nimeshinda naye kwa siku zilizokuwa za ajabu usiku na mchana. Ni katika hatua hii tu ndipo mwanadamu anaona wepesi Wangu wa kufikiwa, na vile uhusiano wake na Mimi unavyozidi kuwa mwingi, anaona baadhi ya kile Ninacho na Nilicho—na kwa sababu hii, anapata ufahamu kunihusu. Miongoni mwa watu wote, Ninainua kichwa Changu na kutazama, na wote wananiona.