Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tovuti ya injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tovuti ya injili. Onyesha machapisho yote

10/09/2017

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III

Kanisa la Mwenyezi Mungu


Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III

    Mwenyezi Mungu alisema, Vikao hivi kadhaa vya ushirika vimekuwa na athari kubwa kwa kila mmoja wa watu. Kwa sasa, watu wanaweza hatimaye kuhisi uwepo wa kweli wa Mungu na kwamba Mungu kwa hakika yuko karibu sana na wao. Ingawa watu wamemwani Mungu kwa miaka mingi, hawajawahi kuelewa kwa kweli mawazo na fikira Zake kama wanavyozielewa sasa, wala hawajawahi kupata kwa kweli uzoefu wa matendo Yake halisi kama walio nao kwa sasa.

8/28/2017

Umeme wa Mashariki | Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu - Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote"


Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote
La … la la la … la la la….
La … la la la … la la la … la….
Jua la haki lapanda kutoka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia.
Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu.
Watu wanaofuatilia ukweli wote wanampenda Mungu.
Ingawa mimi huamka peke yangu asubuhi mapema, Ninahisi furaha ninapotafakaria neno la Mungu.

8/18/2017

Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu



Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.” (Mathayo 24:27) Katika siku za mwisho, kama ilivyoahidiwa na kutabiriwa na Yeye, Mungu tena Amekuwa mwili na kushukia Mashariki ya dunia—China—kufanya kazi ya kuhukumu, kuadibu, ushindi, na wokovu Akitumia neno, kwa msingi wa kazi ya ukombozi ya Bwana Yesu. Katika hili, unabii wa Biblia kwamba "Hukumu huanza na nyumba ya Mungu" na “Yeye aliye na sikio, na alisikie yale ambayo Roho aliyaambia makanisa.

8/10/2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"

Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani
Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha.
Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake.
Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu.
Mapenzi yangu kwa Mungu hukua siku baada ya siku, Mungu ndiye chanzo cha furaha yangu.