Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfuateni-Mwanakondoo-Kuimba-Nyimbo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfuateni-Mwanakondoo-Kuimba-Nyimbo. Onyesha machapisho yote

5/27/2018

Upendo wa Kweli wa Mungu


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki



Upendo wa Kweli wa Mungu

I
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Yake.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo
huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.

2/20/2018

Nimeuona uzuri wa Mungu

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu



Nimeuona uzuri wa Mungu

I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara.
Nikaamka na kuangalia kuona,
ni nani aliye pale akizungumza.
Sauti yake ni nyororo lakini kali,
picha Yake nzuri!
Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa,
nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo.
Halafu natambua ni Mwenyezi ambaye nilipigana naye.
Najichukia mwenyewe, kwa majuto makubwa,
fikiria niliyoyafanya.
Nimepotoka kwa kina, hakuna wanadamu,
sasa nauona ukweli.
Pamoja na mwanzo mpya, kujiingiza katika maisha halisi,
kutimiza wajibu wangu.

2/19/2018

Best Swahili Christian Worship Song “Maisha Yetu Sio Bure”




Best Swahili Christian Worship Song “Maisha Yetu Sio Bure”


Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu.
Kila siku ya maisha yetu sio bure.
Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima! 
Kufahamu na kukumbatia fumbo hili.
Nyayo zetu ziko katika njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima.
Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu.
Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto.
Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata.
Maisha yetu sio bure, sio bure. 
Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

2/17/2018

Umeme wa Mashariki | Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani


Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo



I
Nimerudi kwa familia ya Mungu,
mchangamfu na mwenye furaha.
Mikono yangu imemshika mpendwa wangu,
moyo wangu ni miliki Yake.
Japo nimepitia Bonde la Machozi,
nimeyaona mapenzi ya Mungu.
Mapenzi yangu kwa Mungu hukua siku baada ya siku,
Mungu ndiye chanzo cha furaha yangu.
Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu,
moyo wangu umeshikizwa kwa Mungu.
Siwezi kumpenda Mungu vya kutosha,
nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu.
Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu,
nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu.