Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (5) - Ni Mahali Gani Ambapo Bwana Ametutayarishia?
Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliahidi, "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3).