10/16/2017

Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa | Umeme wa Mashariki

Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa | Umeme wa Mashariki

I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.
Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.
Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema,
Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa. yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi.
Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.
Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. II Mwanadamu alitoka mavumbini, na Mungu akampa uhai.
Lakini Wewe ni … Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Shetani alishuka chini kuwapotosha wanadamu. Ubinadamu na mantiki yao yamepotea. Kizazi baada ya kizazi, kimeanguka tangu siku hiyo.
Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?
Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kuabudu? Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. III
Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Mungu alimuumba mwanadamu na anampenda sana, kiasi kwamba Alipata mwili tena, Alistahimili mazuri na mabaya, taabu na huzuni, Akituokoa na kutuleta mahali pazuri. Tutakushukuru Wewe daima.
Ninawezaje kukosa kukuabudu? Ninawezaje kukosa kukuabudu?
Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kuabudu? Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kukuabudu? kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Video Yaliyopendekezwa: Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni